Mkuu nlikuwa nje ya Nairobi kidogo narudi mzigo wako utaupata nikirudiπ€£π€£π€£π€£π€£Picha ya zamani sn hii, tangu mwaka 2017, na ni hyo hyo moja tu, hope that the owner of this shuttle uses this van for tourists.
Kwa ground mambo ni tofauti π€£π€£π€£π€£πππππππ
Wanalia kweli twitter ππππKwa ground mambo ni tofauti π€£π€£π€£π€£π
Nitapiga picha za luxury buses zenu za kikunya alafu tuone nani anatu zushia uongo humuπWhen it comes to luxury public vehicles Tanzania will forever be behind Kenya.
Nlikua na mashaka na uraia wako ume prove point!Wakenya mnadanganywa kweupe,mwambie huyu jamaa aweke drone footage ya Mwanza na Arusha hapa muone wenyewe.
Kijiji cha Mwanza ukiacha kwamba kimejaa uswazi hakina barabarani zozote za dual carriage hata moja na wala hakina majengo marefu kulinganisha na Arusha..
Kelele za Sasa ni kile kidaraja kinachojengwa sasa na sgr tuu nothing else rather than slums.
The only City to watch out of Dar ni Dodoma tuu ambayo iko underconstruction.
Wewe Moro umewahi kufika?ndo utoe hizo kauli?Narudia tena, mabasi yote ya route fupi fupi yanaunganisha route zingine..
Likipiga route ya mbali leo kesho keshokutwa linapumzishwa kw route fupi..
Nyie mna akili gani ya biashara zaidi ya kufanyiwa kila kitu na serekali...
Evidence ni wewe uniletee kampuni inayopiga dar moro pekeake km vile zile zinazopiga arusha nairobi mzee acha kumumunya maneno hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona unaongea sana bila viambatanishi mzee?
Wewe hushangai katika mamia ya makampuni ya mabasi Tanzania tumekuletea tu companies hizi chache tu hasahasa abood na bm? Kwani gari zinazoondoka dar kwenda mikoani via moro ni hizo 2 tu?
Tunazitaja hizi sababu ndio Common kwenye safari za Dar Moro Dar na ushahidi huu hapa kwamba ni hot rote, angalia kwenye caption toka 9:30 mpaka 10:30 lisaa limoja gari 10 zimetoka Dar kwenda Moro (hizi ni zile za Dar Moro Dar tu)
Then pictures za chini ni ndinga za abood za Dar Moro zenye banners kabisa special kwa Dar Moro Dar route, so ujionee ulivyo kichaa unavyopinga usichojua
οΏΌοΏΌView attachment 1934856View attachment 1934873View attachment 1934874View attachment 1934875
Nakuletea ndinga nyingine, me huwa napenda ligi sana!
Na wewe umesha prove wa kwako? Peleka upumbavu wako huko.Nlikua na mashaka na uraia wako ume prove point!
Wewe sio mbongo!
Hata mi naona, kwa ground ni different! π€£ π€£ π€£Kwa ground mambo ni tofauti π€£π€£π€£π€£π
Poa poa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu nlikuwa nje ya Nairobi kidogo narudi mzigo wako utaupata nikirudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani huoni aibu kuweka huu uchafu hapa? Jiji uchwara ππππππ Kumbe huyu fala sio mtanzania na hiyo miji yenyewe halijawahi kufikaπmatako kweli hili jamaa, jitu .. nimepiga picha kwa mkono wangu juzi tu dual carriage way safii, nakuweka kiporo wewe matako.. jf Wana Matatizo yao nikipost inazingua, Ila ntakurudia, ishi na hiz videos kwanza fala wewe.
Imeisha hiyo πNa wewe umesha prove wa kwako? Peleka upumbavu wako huko.
We endelea kufurahia ujinga πHata mi naona, kwa ground ni different! π€£ π€£ π€£
View attachment 1934978
View attachment 1934980
Ndugu zako ndio wajinga basi, sio mm. Wenzio wanalia, wewe unakuja kutoa ushuzi huku! π€£ π€£ π€£We endelea kufurahia ujinga π
We **** sio mtanzania πππ Kumbe vitu vyenyewe mpaka uingie google π, tembea bwege wewe, kwanza videos umeziangalia hizi au huna bundle.? π.. tembea ***** wewe uache kujificha kibera .. hakuna jiji lolote Tanzania ambalo halina dual carriage way, sehem yoyote tz ambako kuna hadhi ya jiji dual carriage way zipo fala wewe..Yaani huoni aibu kuweka huu uchafu hapa? Jiji uchwara πππ
Barabara za Jiji zinatakiwa kufanania kama hivi hapa Arusha na Sumbawanga π
View attachment 1934995
View attachment 1934996
π π π π Nyumbu komora096 naona kasanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nitembee kwa ajili ya kukupigia picha wewe? Una akili timamu wewe?We **** sio mtanzania πππ Kumbe vitu vyenyewe mpaka uingie google π, tembea bwege wewe, kwanza videos umeziangalia hizi au huna bundle.? π.. tembea ***** wewe uache kujificha kibera .. hakuna jiji lolote Tanzania ambalo halina dual carriage way, sehem yoyote tz ambako kuna hadhi ya jiji dual carriage way zipo fala wewe..
Hiki kitu kitakuja kutikisa Africa nzima, naamini ni moja wapo ya the most creative and unique architectural design kwenye ukanda huuππππEA super power .. ukifanya mambo ya kidunia π