Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Luxury ipi? Kupanda kipanya ment for lightweight cargo from its maker ndio luxury? Only in Kunyaland πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
And just like that umeshange gear πŸ˜‚πŸ€£, even buses za Tanzania are nothing compared to Kenyan busesπŸ˜‚
 
And just like that umeshange gear πŸ˜‚πŸ€£, even buses za Tanzania are nothing compared to Kenyan busesπŸ˜‚
Ukiongelea shuttle in Tanzania incase you don't know!

Na kwanini mnaziita shuttle?
Navyojua shuttle ni kwa city to airport au unpopular / rare occasional tours, sasa ninyi Common routes za mashambani na majangwani kwenu inakuaje iwe shuttle? πŸ€”
 
Wewe ni mjinga kweli, unajua hata "shuttle" inamaanisha nini as far as transportation is concerned?
 
Wewe ndio huna exposure ndio maana umetafuta usaidizi from googleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. And again what I showed you is a shuttle van and not a bus.
Angalia reply yangu hapo juu kabla ya hiyo nimekwambia shuttle ni kutoka city kwenda Airport hapo hata nilikua sijagoogle!

Mzee shuttle ndio core context hata useme shuttle punda kama zile za lamu na mombasaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yeah, hiyo comment yako ya awali niliona na ndio maana nikakuita mjinga. Shuttle is just to move from one place to another, sio lazima iwe airport ama hotel. Even travelling from one city to another is shuttling. Wewe baki tu na uchawi wako juu hakuna kitu unajuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niletee nchi yoyote duniani inayojielewa yenye huu ushubwada wa 500km journey ndani ya hivi vipanya

Niletee nchi yoyote duniani inayojielewa yenye huu ushubwada wa 500km journey ndani ya hivi vipanya

View attachment 1934665
Yaani ruti ya Moshi - Arusha ina magari mazuri kuliko nakuru - eldoret [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji625] Unaweza kunywa chai Moshi halafu mchana ukapata chakula cha mchana Arusha.
 
Yaani ruti ya Moshi - Arusha ina magari mazuri kuliko nakuru - eldoret [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji625] Unaweza kunywa chai Moshi halafu mchana ukapata chakula cha mchana Arusha.
Daladala za Tanga

Ngamiani zipo coasters classic sana zinaenda Kange na vitongoji vya Tanga jiji umbali wa chini ya kilometers 20, wakati Kunyaland safari ya 500km ni ndoto kupanda coasters

Niletee nchi yoyote duniani inayojielewa yenye huu ushubwada wa 500km journey ndani ya hivi vipanya

View attachment 1934665

[emoji33][emoji33][emoji50][emoji50][emoji50] nyie mbona maaajabu haya..
Nakuru-Eldoret (156km) wanatumia hizi daladala?

sisi kwetu.. Mbezi Mwisho Bus Stop-Mbagala Mwisho Bust Stop

(45km ..umbali mkubwa kuliko wote wa daladala kutembea) hizo daladala ndogo za kikenya haziruhusiwi..

zinaruhusiwa haya magari makubwa makubwa kama haya na vidaladala vidogo haviruhusiwi.. lkn kenya 156km zinatumika vikirikuu[emoji33]

kwa hili hakika nawapongeza ile mamlaka ya kusimamia usafiri wa ardhini (LATRA).. hakika kwa hili nimeona umuhimu wao
 
Machozi yote haya ni sababu Tanzania hakuna safari ya 500km kwa vipanya kama Kunyaland

Hakuna mfanyabishara ataleta luxury buses kwenye counties zenu sababu hakuna lami [emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 1934415View attachment 1934416
Hzo ni intercounties mzee[emoji1787]
Ukiambiwa Nakuru eldoret basi ni lazima ifike eldoret, private sector kenya watu hutumia akili..
Shuttles nyingi zina interconect na kuapatia abiria nakuru na kupiga u-turn..

Nakuru na eldoret zote zipo region moja mzee, utafutaji wa hela unahitaji akili na kucheza na mipango vile vile..

Mabasi ya mkoa to mkoa hayo hapo
 
Acha kudanganya wewe, dar moro ni zaidi ya 2hrs...we unaichukuliaje 200km ama unataka kusema basi lita maintain speed ya 100km/h mwanzo mwisho
 
Amna namna jamaa kwenye usafiri wa umma tumewaacha mbali sana ilo uwezi kwepa
 
Una matatizo ya akili wewe, tatizo hujawahi toka nje ya Liberal ndio sababu unapiga Domo tupu, Ingia google utafute "About Bus Services" ujifunze, punguza ujinga, Tanzania ni taifa kubwa sio "Failed state".
Hivi kw mfano unatoa wapi nguvu za kukasirika jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…