Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe unaongelelea enzi za Nyerere, hayo tulifanya kitambo, sio vitabu, sio school fees, shule za serikali ni mwendo wa kuteleza huku, tangu kitambo na hayo maziwa ni gesture tu ya kawaida mkuu, fanyeni muende hasara! 🤣 🤣 🤣 🤣
Hata baada ya Nyerere kuondoka bado wanafunzi walipewa chakula.

Wakati wa Mwinyi bado shule za serikali zilikuwa zinalisha wanafunzi wote, chakula cha asubuhi, mchana na jioni (kulikuwa na shift mbili shule za day, sekondari). Mpaka ilipofika 1993 serikali ilipoanza kutekeleza mashinikizo ya IMF kufanya "restructuring " ndipo wakaondoa mipango ya kulisha wanafunzi shuleni, pamoja na kuondoa mafunzo ya kijeshi (JKT) kwa wanafunzi.

Enzi za Nyerere, wanafunzi walipewa kila kitu mashuleni, mpaka nauli za kwenda makwao pamoja na snacks wakiwa safarini likizo. Hayo ndiyo mambo Magu (marais wengine walijifanya kusahau) alitaka kuyarudisha kwasababu yeye binafsi alinufaika na mfumo huo.
 
watanzania wenzangu.. licha ya kwamba kuwa huyu jamaa tayar anajulikana ni muongo.. tuendelee kuzingutia kuwa kwenye maneno kumi ya mkenya ondoka na moja au usichukue kbsa lolote..
niwatakie usiku mwema.. natoka mtoko kidogo wa usiku

Hapo alipotaja Sheraton Na Intercontinental ambazo ni international Hospitality management chains kwamba ni za huyo jamaa ndio anapoonekana hayupo serious .
 
Tuonyeshe basi la route ya dar moro tu km unaubavu huo
Mtawadanganya wapuuzi km nyie
Tz haijawahi kuwa maskini kama Kenya
Screenshot_20210911-060504.jpg
Screenshot_20210911-060412.jpg
Screenshot_20210911-060705.jpg
Screenshot_20210911-060644.jpg
Screenshot_20210911-060943.jpg
Screenshot_20210911-061009.jpg
 
Kuzalisha bidhaa kw maana ingine ni production of services
Jamani jamani..

Si swali lako wewe uliuliza km anazalisha bidhaa gani kibwengo, hivi umekamatwa sasa unajitia ujuaji mpka ukajikanganya..
Duh!!kwel hyo jamaa kwenywe avatar hakufanyii poa, mpka akili zimekua km sufuri
Wewe shoga kuna kitu kinaitwa productions of goods and services, usipende kuvamia mada ambayo hujui imetokea wapi.
 
Kuzalisha bidhaa kw maana ingine ni production of services
Jamani jamani..

Si swali lako wewe uliuliza km anazalisha bidhaa gani kibwengo, hivi umekamatwa sasa unajitia ujuaji mpka ukajikanganya..
Duh!!kwel hyo jamaa kwenywe avatar hakufanyii poa, mpka akili zimekua km sufuri
Production in economy inahusisha bidhaa services and tax receipts pia
 
Wakati nyinyi mnapewa maziwa bure sisi tulikuwa tunapewa elimu bure uniform madaftari exercuse books na chakula bure na hospital bure
Tangu kitambo hayo huku, na tunajua hamna sahi huko kwenyu so usijiliwaze! 🤣
 
Hata baada ya Nyerere kuondoka bado wanafunzi walipewa chakula.

Wakati wa Mwinyi bado shule za serikali zilikuwa zinalisha wanafunzi wote, chakula cha asubuhi, mchana na jioni (kulikuwa na shift mbili shule za day, sekondari). Mpaka ilipofika 1993 serikali ilipoanza kutekeleza mashinikizo ya IMF kufanya "restructuring " ndipo wakaondoa mipango ya kulisha wanafunzi shuleni, pamoja na kuondoa mafunzo ya kijeshi (JKT) kwa wanafunzi.

Enzi za Nyerere, wanafunzi walipewa kila kitu mashuleni, mpaka nauli za kwenda makwao pamoja na snacks wakiwa safarini likizo. Hayo ndiyo mambo Magu (marais wengine walijifanya kusahau) alitaka kuyarudisha kwasababu yeye binafsi alinufaika na mfumo huo.
Nyerere alijenga mpaka kiwanda kikubwa sana cha karatasi mufindi na moja ya kazi zake kubwa ni kuzalisha daftari kwa ajili ya wanafunzi Tanzania nzima bure

Nafikiri mpaka kipindi cha mkapa awamu ya kwanza ndio serikali iliacha kutoa madaftari bure kwa wanafunzi

Kenya mpaka leo bado wanategemea hiki kiwanda kwa malighafi za karatasi

Anavyoshobokea pakti ya maziwa kwa kutwa anachekesha walionuna aisee ni hivyo tu wengi wao walikua brainwashed kuhusu Tanzania na wanasiasa wao 😅😅

Hapo alipotaja Sheraton Na Intercontinental ambazo ni international Hospitality management chains kwamba ni za huyo jamaa ndio anapoonekana hayupo serious .
Wewe tunakujua unakuanga bendera fuata upepo, hauna msima o. You just blindly follow what your fell Tanzanians says without even doing simple research.😂😂😂

Here is the Continental Hotel unasema sio yake😂😂

Moi family’s InterCon Hotel to be turned into stalls, leased to government
by James Oundo15th August 2021 Reading Time: 2 mins read
1631341265109.jpeg

1631341265381.png
Join @Biznake on Telegram
Barely one year after the InterCon Hotel shut down, plans to turn it into shops and lease part of its space to the government have been revealed.

The InterCon Hotel, also known as Intercontinental Hotel, shut down in August 2020 after sacking all employees. The hotel’s general manager Oliver Geyer told employees in a notice last year that all workers are now redundant and that it would terminate its Nairobi hotel lease.

The hotel is associated with the Moi family. According to a recent report that appeared in the Daily Nation, the late Moi “initially owned a 19.3 per cent stake in Intercontinental Hotel before upping its shareholding to 53 per cent in 2018. This essentially gave the Moi family a majority shareholding of the iconic hotel.” The family acquired the stake through Sovereign Group which bought 5,874,391 shares.
How my ex hubby stole Sh. 700,000 of our son’s education money
“Owners of the InterCon Hotel are considering leasing out the building or converting it into a mixed-used property, complicating the State’s efforts to sell its 33.8 percent stake in the five-star hotel. Kenya Hotel Properties (KHP) is seeking a consultant to advise on change of business model for the hotel, which closed permanently in August last year, to include a mixed-use approach —signalling the hotel building could be converted to office blocks, shops and mini-hotels,” a report that appeared in a local daily on Friday said.
High Court judges Aggrey Muchelule, Juma Chitembwe arrested
In 2019, the hotel was declared technically insolvent since it could not service its debts that stood at Sh. 717 million. The InterContinental Hotels Corporation has been running and managing the 389-room InterContinental Hotel Nairobi under a 99-year lease since April 1967. Shareholders of InterContinental Nairobi have previously included the Intercontinental Hotels Corporation Group (33.8 per cent), the Development Bank of Kenya 12.99 per cent stake, government of Kenya 33.83 per cent stake.
 
Back
Top Bottom