Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asubutuuu...
Hayo ndio mabasi yanayopiga route ya dar moro sio
Jamaa keshaanza kupindisha
Dar-Moro
Screenshot_20210911-060504.jpg
Screenshot_20210911-060540.jpg
Screenshot_20210911-060412.jpg
 
Kwahiyo hua huamini, Dar-moro tu hayapungui mabasi 10, hiyo ni minimum no inaweza kuzidi,

Hizo shuttles huku Tanzania haziruhusiwi kupiga route nje ya mji, au wilaya moja kwenda nyingine.
Nionyeshe kampuni inyaopiga dar moro pekeake katika pilka zake za kila siku mzee acha kupiga kelele hapa
 
Intercontinential hotel Kenya si ya Moi!
Mzee wewe hakuna kitu unajua. Moi has a 53% stake in the Intercontinental hotel Kenya.



Intercontinential hotel Kenya si ya Moi!


 
Swali lako ni la kipumbavu sana, umeomba upewe basi zinazoenda Moro from Dar umepewa, now unataka kampuni huu utoto huu.
Sitaki gari zinazoenda moro mimi
Nataka kampuni ambayo inayopiga dar moro pekeeake km mnavyojisifia eti 100km route ina mabasi yake na wakati ni vile vi mini-bus vyenu vichafu vya mijistika iliyochakaa
 
Bus inatoka Dar inaenda Moro, zen inageuza inarudi Dar, na co kwamba inatoka Dar inaenda Iringa inapitia Moro.
Si inadungwa sticker tu, we una uhakika gani km haijatoka kwingine ikatua moro alafu ikapewa route ya dar
 
Back
Top Bottom