Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Hata wewe iba bhana, usilete stress zako za ufukara hapa! 🤣 🤣 🤣Hawana investment zozote za maana, eti wanakua billionaires kwa kukadiriwa ufisadi walio fanya wakiwa madarakani na sio kwa investments zinazoingiza mapato?
Nashangaa pia ruto mnasema ni one of the prominent richest Kenyan wakati hana kitu 😅😅😅
View attachment 1932526
Sasa huyu ana mali gani? 😅