Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Ujinga hujaacha, hii ni blog na ametumia pic random ya Africa. Macho huna? 😂 😂 😂
Ujinga hujaacha, hii ni blog na ametumia pic random ya Africa. Macho huna? 😂 😂 😂
Halafu hizo local corporate si ajabu zinamilikiwa na foreignersStupidity will kill you one day. From this your figure inaonekana tu vizuri locals own more than 60% in the free floating category.
View attachment 1931169
Stupid ni MaguMwizi huyo, ameibia serikali yenu na bado mnakenua meno kutaka kufanya awe president wenu, stupid kabisa
wat about your Vodafone![]()



we ni miongoni mwa wakenya wenye vichwa box,,Anayeongea hana hata boti la mbao! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyo ruto hana utajiri wowote wa maana wanampaisha tu
Ni masikini wa kawaida anaetafuna tu pesa za serikali lakini hana tangible investment zaidi ya Viraka vya mashamba Jangwani 😅😅😅
View attachment 1931345
Hata mabilionea wao utajiri mkubwa walionao ni kumiliki hekari za majangwa lakini on the ground hawana mbele wala nyuma 😂😂😂😂
Mo amewashikilia wabongo! 🤣 🤣 🤣 🤣Manu chandaria ni gikuyu? 😂😂😂
Muwashukuru wahindi sana kama sio hao mngeshakufa na njaa wote since 90% ya posho Mills zinamilikiwa na wahindi na 70% real-estates ni wao na waarabu 😅😅😅
Yaani mnakula kwa wahindi na mnalala kwa muhindi 😂😂😂
afadhali hata wew unayemiliki boti la maboxAnayeongea hana hata boti la mbao!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Cheapest doesn't translate to fastest, some of us rather pay more and get better quality, look at South Africa and Egypt...
Cheapest doesn't translate to fastest, some of us rather pay more and get better quality, look at South Africa and Egypt...
Here in Kenya Safaricom holds the largest market despite being the most expensive network, but it's way more reliable.









chief hii benz iliyoota nyasi naipata kwa tril ngapi..?..maana nimeipenda kweli nataka niipeleke serengeti ili niwe napakia chui na swala Why not set standards to all networks to be reliable and provide quality of service to all?Cheapest doesn't translate to fastest, some of us rather pay more and get better quality, look at South Africa and Egypt...
Here in Kenya Safaricom holds the largest market despite being the most expensive network, but it's way more reliable.
Unaweza kuleta ushahidi ruto akimiliki shares za sifuricom?Anayeongea hana hata boti la mbao! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mo hajamshikilia mtanzania yeyote, tofauti na ajira anazotoa na kununua mazao ya watanzania hajamshikilia mtu, ninyi kula na kulala ni kwa jeuri ya muhindi, muhindi akiamua kuweka makufuli kwenye estates zake za Nairobi, wengi wenu mtalala City toiletsMo amewashikilia wabongo! 🤣 🤣 🤣 🤣
South Africa ndio hovyo kabisa, hata wao video ya msanii mkubwa kufikisha views million 1 ni kwa mbindeCheapest doesn't translate to fastest, some of us rather pay more and get better quality, look at South Africa and Egypt...
Here in Kenya Safaricom holds the largest market despite being the most expensive network, but it's way more reliable.