Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari za kusikitisha ni kwamba vijana wa bongo sana sana Dar wamelegea sana sababu ya kupenda mihogo, kiepe yai na kitimoto kila mara, sio asubuhi, chamcha hadi chajio. Vipi wakulungwa, msiwe hivyo!😁😁😁
We unaota wee? Ingekua hivyo Diamond na Ali Kiba wasingewazalisha warembo wenu. Huda nae akaja kujibebisha apewe hogo la Diamond. Na yule mwingine anaitwa nani vile, aliedai hajawahi kugongwa vizuri kwenye maisha yake mpaka alivyoktana na vijana wa bongo. Yaan ni wengi hadi majina yananitoka
 
Ndio manake utapiamlo unawahusu[emoji1787][emoji1787]
Mihogo mie siwezi ifanya km meal yangu bana
So, unaamini kuwa tunawauzia chakula then tunabaki tupu. Hizo zako ndio akili za utapia mlo sasa
 
Kwa nini kutumia lugha ya kukera hvyo kwa mtz mwenzako? Yeye ametoa opinion yake tu ambayo nayo siyo mbaya lakini namna unavyomjibu siyo kiungwana. Kwani ungetoa hiyo opinion yako bila kumtukana The best 007 kungekuwa na tatizo. SIO POA HIVYO. KAMA NI POVU TEMA KWA HAWA WAKUNYA.
 
System zipo, hapo solution ni kumrudisha Max Malipo aliumudu kikamilifu. Kama unaona feri pia ilikua kazi ya MaxMalipo
 
Nahisi aliangalia title akaibeba akachanganya na mawazo yake yaliyokosa shule akaweka humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787]Mlipa Kodi anapewa Account ya TRA ya kwenye Bank yake.
Mfano wewe ni mlipa kodi na una Account CRDB utapewa Account ya TRA ya CRDB , hivyo hivyo kulingana na wenye account bank zingine.

Yeye kalibeba akijua KCB imeiteka TRA [emoji1787].
 
Upo sahihi kabisa, huyu mwamba kwenye hili anakosea sana, tunamvumilia tu kwakua tunamheshimu ila anavyofanya sio poa
 
mwenyewe hajalalamika wewe kimbelembele! Eboo kaa pembeni! kwahiyo nawewe una-support Bakhresa apewe BRT?
 

Saivi sina hata imani na huu mradi tena watuu wanapaa na ndege kwenda kutalii mbuga za wanyama eti wanadai wanataka kutangaza vivutio vya bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…