Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii BRT system wampe Bakhressa alafu muone maajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawawezi kukubali, MaxMalipo alishakubaliana nao na alikua ailete fly emirates ila vyeti feki wakaona watakosa pa kupiga na ndio maana unanona sikuizi brt ticket sio kama mwanzoni. Zile za mwanzoni zilikua zinazuia upigaji wakatengeneza figisu system ikazimwa kama unakumbuka hivi majuzi Majaliwa alikua anawabananisha kwenye ile ziara
 
Hii BRT system wampe Bakhressa alafu muone maajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe peleka upumbavu baada ya kupewa NMC factories zote na Mwinyi kwa ubini wa Uzanzibari na pamoja na Abood kupewa viwanda vya Morogoro unataka wepewe mbona usiseme BRT iingie DSE kila mtu aweze annunue shares hata mwenye Tshs 1 mln? Ukiwa na akili zilizozubaa bwana! kwako wewe Bakhresa Mungu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…