Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe peleka upumbavu baada ya kupewa NMC factories zote na Mwinyi kwa ubini wa Uzanzibari na pamoja na Abood kupewa viwanda vya Morogoro unataka wepewe mbona usiseme BRT iingie DSE kila mtu aweze annunue shares hata mwenye Tshs 1 mln? Ukiwa na akili zilizozubaa bwana! kwako wewe Bakhresa Mungu sio?
Povu
 
Kuna vitu vingine havimake sense kabisa. Kama hapo kwenye electricity connection. Dar peke yake ina watu 4 Mil lakini eti nchi nzima watu waliokua na umeme ni 2.7m. Mbona sielewi? ?
Bro, maneno ya mkenya ni kuyapuuzia. Ndio maana hatuhangaiki nae. Huyo dada alishatuma picha za hela akidai ni zake n then baadae ikapatikana source alipocopy, baada ya hapo akapotea now amerudi kama wanavyosema muda unaponya
 
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
Plan ndio ilikua 6 lanes + 2 lanes za brt = 8 lanes ila kwakua hela walitoa wajapan, wakaleta makandarasi wao wakachelewesha mwisho wa siku tunaona 6 lanes ukijmuisha na brt. wametumia miaka 4 kujenga ilhali waliojenga sinza wametumia mwaka na nusu
 
Downtown Chicago 😁
Picture9 (2).png
Picture2 (2).png
Picture3.png
Picture4.png
Picture7 (2).png
Picture1 (2).png
 
Nchi tajiri duniani huwa zina export vitu vya kuundwa na vya viwandani ..halafu nchi masikini ndio huwa zina export vitu vya shambani na natural resources kiasi yaani vitu visivyo hitaji fikra ya ndani au kisomo cha juu..fanya research ujionee. Because of this it shows how developed and educated kenya is among its peers. back to you in studio.
Hamtuuzi chochote kisichozalishwa Tanzania na Tanzania ina supply both commodities at higher quantities industrial and freshly, in fact hata Kenya inasafirisha fresh produces more than industrial.
 
Huyu kioko ni yupi, maana kuna mse-nge moja wa huko kenya anaitwa kioko aliajiriwa Precision akaitia hasara na kufanya abiria waikimbie precision kwa kulazimisha bidhaa za kwao zitumike on board
Sijamfuatilia mkuu 😀😀
 
Back
Top Bottom