Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This project alone will have more towers above 30 floors than entire dar😂😂
IMG_20210826_153235_180.jpg
IMG_20210826_153235_180.jpg
IMG_20210826_153223_588.jpg
 
Bunduki katoa wapi,alafu pia ata Kama hakuwa perfect terrorist alikuwa na skills za kutumia Bunduki,Alifunzwa wapi ulengaji shabaha kwa Bunduki???Huyo jamaa alafu alianza kucelebrate na kuona ameshinda Nini hiyo alishinda??Mtajua hamjui mkilenga hizi stori ,He was a terrorist!
Tanzania 🇹🇿 kuna mfumo unaitwa Jeshi la Kujenga Taifa(JKT).

Vijana wanapatiwa mafunzo thabiti ya...

•Nidhamu(vijana wanakua na nidhamu ni mwendo wakufuata order... yaani hapa hata ianzishwe kodi ya uvutaji hewa(Oxygen) huta sikia maadamano.)

•Uzalendo(moja ya sababu ya mshikamano wa watanzania...Tanzania hakuna chuki ya kimakabila huku ni full shangwe tunaitana watani na utani tunaotaniana huku Tz ingekuwa ni Kenya tungesikia kuwa Kenya kuna genocide.

Ukakamavu(Usalama, Combat karete, mbinu za kivita, uvumilivu na matumizi ya silaha).

•Ujasiliamali(shughuli mbalimbali za uzalishaji mali).

Hoja yakusema ana - skills na Anaji-position kijemedari kwa Tanzania haiwezi kuhitimisha moja kwa moja kuwa ni gaidi, ingawaje inawezekana. Vijana wengi tumeiva huku Tz.

Tofauti yetu sisi na Israel 🇮🇱 ni Israel wanapewa mafunzo raia wote(fit) while in Tanzania wanapewa baadhi kimkakati zaidi.
 
Back
Top Bottom