Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


IMG_1079.jpg
mwisho wa siku maneno ya huyu jamaa yatatimia kama hapa
IMG_1073.jpg

IMG_1074.jpg
 
Wasouth karibia wote ni watu waliokosa exposure, yaani ni watu waliozaliwa mashambani na kujaa mijini.

Imagine wanyalukolo na wamachinga toka mashambani jana or juzi ndio wakali wa donta kitaa, unafikiri hali itakuwaje?😂

Ila wapo wasouth wanajielewa, hao ni poa sana.

Ofcoz sio wote na marafiki wasauzi
 
Kijana wangu nimempatia maagizo ya kutusho akifika dar, i hope hatanibwaga. Roundi hii mtakunya😂😂😂
 
Back
Top Bottom