The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Duh aisee washafika 67% mara hii, au structure ya miamba iko vzr.
Duh aisee washafika 67% mara hii, au structure ya miamba iko vzr.
IAAF world athletics ni competition bab kubwa tukaipata hadi uwanja mpya tutajenga. Tunajua umuhimu wa hizi world competitions kwa nchiwekeni viti kwanza!
![]()
Ndio mjue kwamba huo ndio mlima mrefu zaidi duniani uliosimama pekeake.
Mali zote za dunia hii ni zetu.
It is just rumours.Thank God this great mountain is the source of lot of money to Tanzania.
actually milimani ambapo kulitakiwa kuwe nyuma ndo kuko mbele zaidi nadhani kuanzia Dodoma kwenda Makutupora ndo bado kuko nyuma! Ila milimani madaraja na tunnels tayari uchongaji wa milima tayari nadhani reli itatandikwa kote very soon!Ichi kipande kinasogea aisee kazi kubwa imebakia kwenye milima pale
kwani kabla ya ukoloni kulikuwa na Kenya? Rest be assured the local chiefs around the mountain the Mangis had more powerful kingdoms than anything around Taita Taveta! Even Masais couldn't take their Kingdoms! Sijui shuleni mlienda kusoma nini? 🙆♂️ 🤷♂️ 🤷♂️
ATA yakuta yaleyale walioyakuta waliomtangulia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila bado nipo tena Sana utaweka na Mimi niweke tuone matokeo 🙂Kijana wangu nimempatia maagizo ya kutusho akifika dar, i hope hatanibwaga. Roundi hii mtakunya😂😂😂
Blue tower lazima uzione kwa mbali kwani ni vilele vya East AfricaBlue towers zileeee😂😂😂😂View attachment 1903350
Safi sana kama mnaiona Tanzania kwa mbali na mkajisifia ni fahari kwetu.Did you know in clear weathers mount kilimanjaro is visible from nairobi View attachment 1904586
🤣 Unamaanisha kenya ilikwepo kabla ya ukoloni? au unamaanisha mount kilimanjaro ulikwepo kwenye safu za mount kenya then wakausogeza
Tuambie sokwe na mkenya nani analala kwa mafiiii ya slumPersonal attacks kwa sura ya mtu ambaye hayupo hapa si vyema it's not right kuita mtu sokwe haionyeshi utu