nangoja mvua ije nione hilo tuta litakavyohimili dhoruba!
Hiyo barabara haina Tija hata kidogo kwa kenya bora wangejenga likoni Bridge
Hiyo barabara haina Tija hata kidogo kwa kenya bora wangejenga likoni Bridge





Kwangu mimi ingekuwa na tija kama wangeweka metro train yaani line mbili kama Lahore pakistan!
MY TAKE
Ubaya wa vitu vya kujengewa huwa havina manufaa kwa anayejengewa! Ingebeba watu wengi na kusaidia usafiri bila ya hii wanayoenda ku-charge watu toll! Tatizo ushamba wa Wakunya wa humu ndani wanashangilia miradi ya kipumbavu bila kufikiria impact yake!
but the fact still remain, he is the founding father of 3rd largest economy in sub saharan africa!angalieni surual na viatu vya huyo wa kati.. amekaa kiwizi wizi
Mngejenga kama ya Lahore na kwa standards za Lahore metro rail halafu mkaacha kushindana na electrical SGR with over 900 km U/C while ur diesel SGR iligota at 592 km, why not? Tatizo huwa mnalipua siku zoote ndo maana ni nadra kupata kongole toka kwa rijali mimi!Ukiongea hivi mtu anaweza dhani tungejenga hiyo ungetupongeza. 🤣 🤣 🤣
Nilikuwa sijaona, kumbe ushamba kwa Wakenya upo kwenye DNA, call him Zuzu kama Zuzu










Ukiongea hivi mtu anaweza dhani tungejenga hiyo ungetupongeza.![]()
![]()
![]()







Mngejenga kama ya Lahore na kwa standards za Lahore metro rail halafu mkaacha kushindana na electrical SGR why not? Tatizo huwa mnalipua siku zoote ndo maana ni nadra kupata kongole toka kwa rijali mimi! Angalia Nairobi metro rail baada ya kelele mingi, mmeenda kununua mtumba trains toka Spain for the price of new ambazo milango ina-jam halafu mnajenga platforms za ufalamanga na utegemee pongezi toka kwangu! Aisee utangoja!!
Mpumbavu mwingine juzi ana-compare irrigation dam project yenye kuzalisha 20 MW na the gigantic 2115 MW JNHPP!





NairobiWalkerTanzanian will forever remain an idiot, who cheated you that the biggest dam in East Africa is JNHP? Hiyo dam yenu hata thwake dam imeishinda in terms of water holding capacity.
Beloew is thwake dam under construction.
View attachment 1897957
View attachment 1897958
View attachment 1897960
View attachment 1897961
View attachment 1897962
View attachment 1897963
View attachment 1897964
View attachment 1897965
View attachment 1897966
View attachment 1897968
Relax, it's not like we need your congratulations. Just exposing your hypocrisy ............including huu wa kujisifia. Like you for instance, you're all over posting about every project in Tanzania boasting how it's nothing this region has ever seen at the same time accusing Kenyans of hyping their projects. Again, it is you comparing your SGR to ours, not the other way round. Hata uzi ni wewe umefungua na 60% of the posts hapo ni zako. Ukijiskiza siku moja unaweza jidharau sana.Mngejenga kama ya Lahore na kwa standards za Lahore metro rail halafu mkaacha kushindana na electrical SGR why not? Tatizo huwa mnalipua siku zoote ndo maana ni nadra kupata kongole toka kwa rijali mimi! Angalia Nairobi metro rail baada ya kelele mingi, mmeenda kununua mtumba trains toka Spain for the price of new ambazo milango ina-jam halafu mnajenga platforms za ufalamanga na utegemee pongezi toka kwangu! Aisee utangoja!!
Mpumbavu mwingine juzi ana-compare thwake dam project (for mainly irrigation) yenye kuzalisha 20 MW na the gigantic 2115 MW JNHPP!
![]()
Read and understand the post. Teargas said Thwake dam beats JNHP in water holding capacity. Saa zingine jifunze kuelewa vitu and stop having an emotional reaction to everything.
And how did i come to open the thread? Umesahau kelele zako humu ndani wewe na wakina Sammuel999, Dhuks, Nairoberry na nomasana ama? Baada ya kuona moto mkakimbia, mmepaki mnachungulia! Saa hii unaona aibu japo mlianza kujenga SGR Tanzania imetandika km nyingi za SGR tena za electric kuliko ma-lazy wa Kunyaland wa kutegemea mikopo!Relax, it's not like we need your congratulations. Just exposing your hypocrisy ............including huu wa kujisifia. Like you for instance, you're all over posting about every project in Tanzania boasting how it's nothing this region has ever seen at the same time accusing Kenyans of hyping their projects. Again, it is you comparing your SGR to ours, not the other way round. Hata uzi ni wewe umefungua na 60% of the posts hapo ni zako. Ukijiskiza siku moja unaweza jidharau sana.
Kuna mmoja alisema ikijengwa kilomita 1 sijui atafanyaje nimesahau maana ilikua kitamboAnd how did i come to open the thread? Umesahau kelele zako humu ndani wewe na wakina Sammuel999, Dhuks, Nairoberry na nomasana ama? Baada ya kuona moto mkakimbia, mmepaki mnachungulia! Saa hii unaona aibu japo mlianza kujenga SGR Tanzania imetandika km nyingi za SGR tena za electric kuliko ma-lazy wa Kunyaland wa kutegemea mikopo!