SGR tumewapiga
Real estate cc ndiyo tunaongoza kwa estates high quality na zenye gharama kubwa.
Umeme ndio sitaki hata kuongelea mana ni aibu, tunajenga the biggest dam ever(Berlin wall)
Maji ni aibu kulinganisha Tz na Kenya, jamaa sahivi imebidi wananchi wafungue viwanda vya mapipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
BRT hawana hakuna haja ya kuweka hapa.
Cable bridges hawana hakuna haja.
Airports huwezi linganisha zizi la ng'ombe na modern Airpot.
Stadiums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Residentials tuko juu, wao wanaishi nyumba ambazo hazina madirisha.
Ships ni upumbavu ku compare, mana cc tunajenga ships kubwa wao wana Mitumbwi.
Hali ya maisha kati ya wananchi iko dhahiri, wkt raia wa Tz wanachagua misosi jamaa wanapika mawe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]