Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheh,hii Ni flyover ama Ni zile ukuta za dam
Hebu fananisha na haya matofali yenye dampo chini
JamiiForums2114234937.jpg
JamiiForums-780078180.jpg
 
hiv hizo nyumba huwa wanazifanyia nin wakimaliza mradi?
Kuna kambi za muda, wakimaliza wanaziondoa, ila zipo ambazo ni za kudumu ambazo huwa zinakabidhiwa kwenye shirika husika.
ningependa wawe wanaziproject kuzijenga kama mfumo wa shule na kuzijenga maeneo rafiki ili wanapomaliza mradi wanazifanya ziwe shule au zahanani, thou some modifications/devolution may take place
Hiyo ingekuwa poa ila huwa wanajenga kando kando ya mradi ambayo yanakuwa ni maendeo ya shirika. Kujenga maeneo ya nje kuna gharama za kulipa fidia.
 
The best 007 Shebby01 nisaidie please kuzitag zile nyani zenye kelele zaidi zije zijipime ubavu na hii DSM baba lao, and guess what mchongo is not 100% done .. huu hapa 👇

Hawa jamaa Wanajua hii game sio mchezo cheki Barabara kama za mamtoni sasa mwambie mkunya achukue video ya hivo uone vituko 🤣🤣🤣
 
Tanzanian will forever remain an idiot, who cheated you that the biggest dam in East Africa is JNHP? Hiyo dam yenu hata thwake dam imeishinda in terms of water holding capacity.

Beloew is thwake dam under construction.

View attachment 1897957

View attachment 1897958

View attachment 1897960

View attachment 1897961

View attachment 1897962

View attachment 1897963

View attachment 1897964

View attachment 1897965

View attachment 1897966

View attachment 1897968
Unatuchafulia thread!
 
Ni wajinga Sana Hawa, they think they are the only people constructing dams😂😂. Wakati hao wanajenga moja, huku Kenya tunaskuma sita at a go😂😂😂
Mkunya muongo sijapata kuona🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hey Methuselah, I heard that mwanza itanyang'anya Kisumu port customers. What do you say😂😂👇👇👇

IMG_20210819_224247.jpg
 
Back
Top Bottom