Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,154
- 29,772
Wewe ulisema mimi muongo sasa sibitisha ...tena huyo ni mpinga magufuli mwenzako nilipo kuambia wafanyakazi airport wanalalamika kuhusu mama kutumia ndege ya abiria ya kibiashara kama ndege yake binafsi kunasababisha hasara na matatizo wewe ulisema mimi muongo sasa soma hapa
Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma
ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya: 1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima 2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili. 3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege...


