Kwa hiyo TZ inaongozwa kwa historia ya chama na siyo katiba ya nchi? Acha kukariri maisha dunia inabadilika haraka sana wewe baki na mawazo yako mgando (negativity everywhere). Wapi ndani ya katiba ya ccm imeandikwa kwamba Premier hatawahi kuja kuwa mgombea wa urahisi?Unaota wewe hata historia ya chama hujui,kwa ccm ukishakuwa na vyeo kuanzia pm kwenda juu kamwe hutakaa uingie ikulu,si TU no vyeo bali vinachukuliwa kama ulaji.
Tusubirie 2030 uone kama huyu mtu wako atakuwa Rais.
Mradi tembo mweupe kama mradi gani hebu tutajie hapa ili haya maneno yako yakuhukumu kesho na sisi tuta save kama kawaidaWapi ulipo cross ,miaka 5 iliyopita ilikuwa wastage hakuna kitu mwendazake alifanya zaidi ya kuua uchumi.
Miradi tembo mweupe yote aliyoanzisha hakuna hata mmja uliokamilika
VP cities kama Venice,Monaco na Athens structures zao utasema aje?Uislamu ndio imeweka madhibao yao kwa taifa., the central altar, farasiππππ, hayo mengine ni punda tu..,
Mbona unakua negative kwa kila kitu mkuu?Wapi ulipo cross ,miaka 5 iliyopita ilikuwa wastage hakuna kitu mwendazake alifanya zaidi ya kuua uchumi.
Miradi tembo mweupe yote aliyoanzisha hakuna hata mmja uliokamilika
Hebu taja hio mikoa ambayo ni vumbi ili na sisi tukague maneno yako πππAcha utoto wewe,unaweza linganisha investment ya barabara walivyofanya Ghana na Tzn? Chukua value ya sgr hadi sasa kalinganishe na value ya miundombinu waliyofanya afu urudi hapa.
Tzn hapa kuna propaganda nyingi Sana wakati uhalisia ni zero,yaani miaka 5 serikali inajenga km 2500 za lami ndio uwekezaji mkubwa? Hadi sasa hivi mikoa kibao ina mavumbi bado afu mtu anasema mambo makubwa ,yapi hayo?
Matilioni ya air Tzn yamezalisha nini zaidi ya hasara?
Hilo sio swali ni jibu ,Huyo mtu wenu anakoma 2025 kuwa pm huo Urais atautoa wapi?Kwa hiyo TZ inaongozwa kwa historia ya chama na siyo katiba ya nchi? Acha kukariri maisha dunia inabadilika haraka sana wewe baki na mawazo yako mgando (negativity everywhere). Wapi ndani ya katiba ya ccm imeandikwa kwamba Premier hatawahi kuja kuwa mgombea wa urahisi?
Upinzani wenyewe hauna kitu bro na wengi wako kimaslahi zaidiMfumo unakandamiza vyama vya upinzani!
Huyo niliwah kusema kama anavuta bangi basi ni za chooni ππππMbona unakua negative kwa kila kitu mkuu?
Mbona unakua negative kwa kila kitu mkuu?
Yaani kila kitu nikichungu na kibaya kwake πππππHuyo niliwah kusema kama anavuta bangi basi ni za chooni ππππ
Hata mm hua nashangaa πππsijui mnapata wap mda wa kumpa huyo time
Ni muhanga huyo alinyooshwa na jpm ndio wale waliozoea vya bureYaani kila kitu nikichungu na kibaya kwake πππππ
Haya madubwana mtoto mdogo akiyaona anaweza kulia siku nzima maana yanatisha kinoma! π π πDude kama dude nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1894717View attachment 1894718
Niko negative au na crash sera mbovu za Uchumi za Mwendazake? Nasema hivi 5 years ago it was a wastage , uchumi ulianguka serikali ilitegemea mikopo na kupora pesa za watu huku ikilisha wajinga waliojazana nchi hii propaganda.Mbona unakua negative kwa kila kitu mkuu?
Kweli brother huyu ana lake Jambo sio bure!sijui mnapata wap mda wa kumpa huyo time
Huyo hata usimjibu utapoteza muda wako bure kabisa ni zwazwa πππYaani kila kitu nikichungu na kibaya kwake πππππ
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
huwezijua labda ndege ya Rais ni ndogo kwa mama!