Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,791
World Bank na IMF ni mashetani aisee, Ukiwa na madeni wanakupa gdp kubwa ili Africa yote iingie kwenye mtegoadd your comments..
sikujua ghana wana madeni hiv
View attachment 1892728
View attachment 1892729
View attachment 1892730
Ghana and Kenya are birds of the same feathers! Jamaa wana mafuta ila vitu wanavyofanya huwezi amini!add your comments..
sikujua ghana wana madeni hiv
View attachment 1892728
View attachment 1892729
View attachment 1892730
kuna mapimbi watakuja ,watakuambia kuwa imetoka kenya hiyo,,maana ni washamba wa vitu vidogo
Kama Tz tungeamua ujenzi wa aina hii basi tungekuwa na ma interchange yasiyo na idadi, mana ni very low quality construction za Kenya, being honest.
kama kawaida kichimba chimba mashimo type




Kama Tz tungeamua ujenzi wa aina hii basi tungekuwa na ma interchange yasiyo na idadi, mana ni very low quality construction za Kenya, being honest.


nilipoona hivyo nimecheka kweli na ndiyo nikagundua zaidi kuwa wakenya ni vichaa maboya sana,,kuchimba chimba road type ilimradi waiite interchange waende ulaya wakajifunze ni jinsi gani mataifa yaliyoendelea yanajenga vituKenya wana kampuni uchwara zina used helicopters zinazoanguka kila siku hii kampuni helicopter zake zina registration ya South Africa na inashughulika na client wa maana kama migodi watalii wa high end na wachimbaji wa visima vya gesi!kuna mapimbi watakuja ,watakuambia kuwa imetoka kenya hiyo,,maana ni washamba wa vitu vidogo
| Website | http://www.stateaviation.co.tz |
| Company size | 201-500 employees |
| Headquarters | Dar es Salaam |
| Type | Privately Held |
| Founded | 2020 |
| Specialties | Helicopter services, Aviation, Helicopter Charter, Offshore transport, Minerals transport, MEDEVAC, VVIP Transfers, Oil & Gas transport, Medical Services, Infrastructure aerial support, Aerial Inspection, Helicopter Surveys, Filming and Photography, Geological Surveys, Sling Works, and Firefighting |