toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
😀 Ndoto baada ya kulewa chang'aaHawa watu hushangaza Sana🚮wacha Ile siku Tutaanza kuutilize Jangwa yetu na kufanya canal irrigation,watakipata watajua watauzia Nani,Bado mambo Tuko under trainning na Israel na Egypt,once we catch-up Tutakuwa the leading producer of Food crops and cash crops in Africa,Just wait🇰🇪👊🔥🔥