ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yes ur the one 😀😀😀
Yes ur the one 😀😀😀
Imefanya lini 😂😂😂 nasubiri utupe habariLamu tayari imefanyia Zanzibar port transhipment. Kwani huna habari?
Sasa umeleta nn hiii 😂😂😂 yani naww pia unalia au
Hehe okaywewe ni jobless,,,na hauna kazi ya maana labda business ya ukora
As per Waziri wa ardhi na makazi 75% ya Tzn ni uswazi,hii ni aibu kubwa.compare na Mogadishu, Somalia
View attachment 1887930
Yani nchi kama somalia inawaacha mbali kwa kupanga mji si uswazi kila mahali
Unaota weweView attachment 1887957
Majaliwa for Presidency in 2025? or Mwinyi
Uswazi maana yake nn??? Nijibu kitalumaAs per Waziri wa ardhi na makazi 75% ya Tzn ni uswazi,hii ni aibu kubwa.
Hebu ww tuambiwe ulie timamu kichwani?Unaota wewe
What does this mean wadau? Sielewi is it a good thing or a bad thing?
🤣🤣🤣🤣🤣Msela kajinyea shikamoo wakunyaMjionee na macho yenu sasaView attachment 1888856
What does this mean wadau? Sielewi is it a good thing or a bad thing?
Hapa si nairobi see the phone number on the wall not a kenyan numberMjionee na macho yenu sasaView attachment 1888856
ebu tweleze hapo ni sehemu gani Nairobi! haya ndio madhara ya kunyonya maziwa ya mama wanaume wa bongo.Mjionee na macho yenu sasaView attachment 1888856
tangu lini usafirishaji wa mafuta kwa treni ukawa more effective and affordable than pipeline? maswali yako bwana! Uwe unafanya research kwanza kwann nchi za Eastern Europe zinajenga pipelines japokuwa kuna extensive SGR networks!hiv mafuta ya uganda yanaweza kusafirishwa kwa treni?
if yes, kwann wasigenge sgr hadi uganda hoima hadi Dar? au ilaleta shida sababu ya electricity?
au costs ya operations and transportation itakuwa kubwa?