Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mana nilikwwmbia wewe ni takataka usie elewa ....yani ata mana ya vaccine nishida [emoji23][emoji23] nikweli kwamba vaccine inaongeza kinga mwili lakin haiishi apo lengo ni kumkinga muhusika na gonjwa au magonjwa flani. Swali je hii vaccine inafanya kinacho kusudiwa ?
Najua ww ni hamnazo ila acha nikulize ..ivi kama vaccine ikovyema kwanini kule visiwa vya shelisheli ambako by the way watu walio kuwa vaccinated ni more tha 60% lakini bado rate ya mambukizi iko juu zaidi?...utoto wako peleka kwa wajinga wenzio
Muulize baada ya kupata ile chanjo ya utotoni ya kifua kikuu, kwa nini hakuambiwa avae barakoa na kufanya social distancing kwasababu kifua kikuu pia kinaenezwa na hewa.
 
Muulize baada ya kupata ile chanjo ya utotoni ya kifua kikuu, kwa nini hakuambiwa avae barakoa na kufanya social distancing kwasababu kifua kikuu pia kinaenezwa na hewa.
endelea kupotosha! likikukuta hutaongea hivi!
 
Hizi universities huwa wanapost humu ni museum ama ni za nini? elimu sio buildings malazy.., ona matokeo ya upumbavu mlio nao..,
Key points;
"....participation of Tanzanian students in higher education’s gross enrollment ratio was currently at 6.1 percent..."
"...She said Kenya was ahead of Tanzania in providing the participation of its people with the right skills and knowledge,.."

ADVERTISEMENT

  1. The Citizen
  2. News

Revealed: Tanzania still falls short of high skilled labour​



WEDNESDAY JULY 28 2021​

revld pic

Summary

Tanzania still falls short of recommended high and medium skilled human resource to steer its industrialisation agenda, it has been revealed.
ADVERTISEMENT

Jaccob pic

By Jacob Mosenda
More by this Author

Dar es Salaam. Tanzania still falls short of recommended high and medium skilled human resource to steer its industrialisation agenda, it has been revealed.

This needs to be addressed to create a pool of skilled professionals who would push the country to reach upper status of economy, they said.

This is despite the fact that every year thousands of students graduate from universities and colleges, with employers nailing on the wound with constant complaints about the limited skills among these graduates.

This was stated yesterday at the launch of the 16th exhibition of higher education, science and technology organized by Tanzania Commission for Universities (TCU) at the Mnazi Mmoja grounds, attracting over 70 educational institutions and hundreds of students and parents.

Zanzibar Revolutionary Government’s Chief Secretary Zena Said said studies showed that in order to survive and grow within the middle and upper economies, Tanzania needs to have at least 12 percent of high skilled human resource, and a medium skilled workforce of not less than 26 percent.

She noted that the 2016 figures showed that Tanzania had only 3.3 percent of highly skilled human resource and only 17 percent of medium skilled labour force. This, she said, required higher education institutions to have plans of increasing the level of expertise to facilitate achievement of the industrial economy agenda by 2025.

In addition, Ms Zena noted, the participation of Tanzanian students in higher education’s gross enrollment ratio was currently at 6.1 percent. “This still puts us far behind compared to other sub-Saharan African countries where there is an average requirement of at least 9.4 percent of skilled human resource for the country to be in a position to improve economic development.”

She said Kenya was ahead of Tanzania in providing the participation of its people with the right skills and knowledge, whereby 2018 data showed participation was 11 percent.

“Our average is still very low so it is important to continue to set plans that will increase the number of university graduates with the required skills and knowledge,” she said.

“It is important to develop skills in universities and colleges for our nation, but also universities to collaborate with mid-level colleges in generating skills that would close the gap that exists when we compare ourselves with other countries,” she added.
Kwhiyo Kunyaland ina oversupply of skilled labour? 🤣 🤣 🤣 🙆‍♂️🤷‍♂️
 
Kitu gani kinikute, hiyo korona nilishaipata mwaka jana ikadunda.

Jibu swali, kwanini miaka yote hukuvaa barakoa baada ya kupata chanjo ya kifua kikuu?
Geza Ulole hajui chochote anaendekeza ushabiki wa kindezi sana.

Sasa chanjo ya kuchanjwa zaidi ya mara mbili!!!? Chanjo gani hiyo. Halafu corona ni ugonjwa wa siku nyingi tu. Haya yanaitwa seasonal diseases yanakuja na kuondoka. Tulishaumwa miaka tukatumia dawa asili tukapona.

Baada ya miaka kadha hawa waliochanjwa wataambiwa was the mistake to use that vaccine na hakuna was kutoa fidia.
 
Sasa chanjo ya kuchanjwa zaidi ya mara mbili!!!? Chanjo gani hiyo.
...biashara za watu hizo kama zilivyo flu vaccines.
Baada ya miaka kadha hawa waliochanjwa wataambiwa was the mistake to use that vaccine na hakuna was kutoa fidia.
Miaka michache ijayo sisi tuliogoma kupata chanjo, uzao wetu utakuwa hauna genetic issues ajabu ajabu.
 
...biashara za watu hizo kama zilivyo flu vaccines.

Miaka michache ijayo sisi tuliogoma kupata chanjo, uzao wetu utakuwa hauna genetic issues ajabu ajabu.
Wazungu wanajua. Na issue kubwa iliyopo mezani ni depopulation. Kuweza kuwapunguza watu duniani ni kutumia mbinu hii ya chanjo ambayo ni smooth, maana ile mbinu ya kivita imegonga mwamba.

Waliochanjwa wao na kizazi kijacho watakuwa kama wanyama na tutakuwa tunawafuga na kuwalisha mabaki ya chakula kama nguruwe maana akili zao zitakuwa kama robot. They will work for us.
 
Wazungu wanajua. Na issue kubwa iliyopo mezani ni depopulation. Kuweza kuwapunguza watu duniani ni kutumia mbinu hii ya chanjo ambayo ni smooth, maana ile mbinu ya kivita imegonga mwamba.

Waliochanjwa wao na kizazi kijacho watakuwa kama wanyama na tutakuwa tunawafuga na kuwalisha mabaki ya chakula kama nguruwe maana akili zao zitakuwa kama robot. They will work for us.
Nilisoma mahali yule kinara wa chanjo aliyesababisha wanawake kule India kuwa tasa baada ya kupata chanjo yake, yupo nchini.
 
Utajaza mwnywe, lkn nilishangaa sana kuskia maza ndio kafanya yake bana ili apate kuongoza nchi..
Poleni sana, ningelikua sukuma gang singelikubali lazima ningelikiwakisha
Kafanya yake yeye kama yeye na ni hiari kwa kila mtu 😂😂😂 magufuli aliwanyima usingizi mpaka leo bado munamuota
 
Nilisoma mahali yule kinara wa chanjo aliyesababisha wanawake kule India kuwa tasa baada ya kupata chanjo yake, yupo nchini.
Wale waliotuonesha wanachanja jana ni wazee wengine Menopause imewatupa mkono, wakula bata.

In short wale ni wazee hawana future. Watuachie Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom