Geza bwana,
Ngoja nikwambie kitu hujui,
Mkitaka tuvunje rekodi ya dunia kama anavyotaka huyo mama yenu twende tufunge mitaa Kariakoo tupime kila anaeingia na kutoka,
I assure you huenda asitoke hata mtu mmoja akiwa Negative pale,
Pili the moment mnatangaziwaga mchukue Tahadhari, kirusi kinakuwaga kimeshasambaa mtaani kote kwenye Jamii na majumbani,
Sioni mantiki yako kusema 3rd wave ni hatari kuliko 2nd ama first,
Marafiki zangu wa Karibu ambao Majority ni Healthcare professionals yaani wote hata mimi n
wanaumwaga na kupona na kuumwa tena na kupona, na kuumwa tena dalili za Uviko-19 mara nyingi 2-3 weeks kabla ya nyie kuanza kusikia matangazo na tantalika zote wimbi za Covid-19 kuanza na Serikali yenu,
Cases zikianza kuwa reported kwenye Vituo vya Afya ndio nyie mnasanuliwa eti mchukue Tahadhari ( Tumia common sense tu )
Haya mambo ya Covid tuyaache tu ndio maana nimekunaliana na
Mkuu, I bet you are not an Epidemiologist, neither a medical personnel,
Huna uhakika na chochote na hata WHO hawana uhakika na chochote kwenye Uviko 19,
Ukiwa na Hekima utaelewa kuwa handling ya Covid-19 ya JPM na nchi nyingine all of them yielded same outcomes in terms of mortality,
and probably JPM's way is far better sababu haikuathiri maisha ya watu kiuchumi.
May be ulitaka afunge nchi na aendee mikopo ya mabilioni ya Dola kama uhuru na m7
I also end this discussion here, nashauri tujikite kwenye Battle.