Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umepanic braza[emoji1787][emoji1787]wakati kenyatta anajenga mabwawa nyie mlikua wapi mpka mkazinduka sai
Kenyatta akijenga mabwawa au ile iliobutuka ikaua wakenya wasiokua na hatia ya yule mhindi?? Au ipi
 
Umepanic braza[emoji1787][emoji1787]wakati kenyatta anajenga mabwawa nyie mlikua wapi mpka mkazinduka sai
Lini Kenyatta alipata akili ya kujenga bwawa kubwa hivi, tena kwa pesa ya ndani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-89016978.jpg
 
Lini Kenyatta alipata akili ya kujenga bwawa kubwa hivi, tena kwa pesa ya ndani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1872211
Mabwawa yote ya kenya ni loan free mzee[emoji1787][emoji1787]
Vitu vya kawaida nyie kwenu big deal karne hii
 
Anaeua ni jibril pekeyake sasa malaika nitaongea nae vp??
Utajaza mwnywe, lkn nilishangaa sana kuskia maza ndio kafanya yake bana ili apate kuongoza nchi..
Poleni sana, ningelikua sukuma gang singelikubali lazima ningelikiwakisha
 
Magufuli bhn kidume wallahi, alisema hii nchi inaweza na tutajenga sasa hatutasubiri kesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1115067050.jpg
JamiiForums558047334.jpg
JamiiForums-1393670874.jpg
JamiiForums-89016978.jpg
 
@sukumagang hoyeeee...kinukisheni bana, mama ataua vipi alafu aachwe salam..kufikia sasa nchi inatakiwa iwe imepinduliwa
 
Utajaza mwnywe, lkn nilishangaa sana kuskia maza ndio kafanya yake bana ili apate kuongoza nchi..
Poleni sana, ningelikua sukuma gang singelikubali lazima ningelikiwakisha
Unajaribu kutia uchochezi lkn tunakuona km kima tu, ramba dawa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210722-224352.jpg
 
dah! acha uongo jamaa.. mtoto wa huyo prof nafahamiana nae na namba yake ninayo.. mzee wake wala hajafa kwa corona... you can validate your point through others lkn si kwa kumtumia huyo prof
fuatilia vizuri halafu uje na concrete evidence!
 
Jiwe lako limeuliwa na bado upo hapa kuuguza jereha, ingia barabarani ukapigane vita hko na watu wa pwani
Ulitaka aishi milele au? Yesu, Mtume muhammad s.a.w wote hao walikufa unashangaa nini ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom