Kumbe hujui.
1. Kaka, chaguo la mgombea mwenza, Magufuli alimchagua Dr Hussein Mwinyi. Hili ndio lilikua CHAGUO la Magufuli.
Samia ni fitna ya Kikwete aliyekichomeka jina hili na kupigiwa kampein kwa kigezo cha "gender" ndio Mwinyi akapigwa chini.
Tafuta clip uone Magufuli akiliongelea mbeke ya CCM huko Dodoma.
2. Swala la Corona, Magufuli alikua sahihi sana hata top WHO wanakubaliana naye. Nenda South Africa ukajifunze athari za Covid safety measures za kukurupuka zilivyo athiri uchumi na kulimega taifa.
Hakuna chanjo ya Corona iliyo salama. Chanjo huchukua 10 or more years kujua side effects zake kwa short, mid na long term - hizi zote zimechukua miezi kadhaa tu na hata hao watengenezaji wanajua si salama na ndio maana wanashinikiza Serikali zote kusaign makuvaliano wakiogopa kushtakiwa kwa kitakachotokea baada ya chanjo.
Serikali nazo, hushurutisha watu kujaza form na kukubali certain conditions.
View attachment 1871652
Hizi chanjo, nyingi zimepigwa narufuku kwenye nchi nyingi kwa sababu mbali mbali. Kama Johnson, Zeneka.
Thanks.