Simba 254
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 2,679
- 1,766
Iliyoenda China ipo poa tu na baada ya safari ya kwanza iliendelea kupiga freight flights . Remember wanaoingia China kwa sasa ni Chinese nationals peke yao na Diplomats, so hamna abiria wa kutosha IMO, ila Cargo nina uhakiaka inakamua.vitu vimelipwa nn!
mwenye anaejua ile iliyoenda china ilikuwa na jina gan pale mbele? na je imeonekena ikifanya kazi bongo.. maana sijasikia imerud.. kuna mawili.. imerud kimya kimya au imedakwa huko.. kuondoa huu utata naomba kujua jina la hilo ndege na siku ilipoenekana huku bongo
vitu vimelipwa nn!
mwenye anaejua ile iliyoenda china ilikuwa na jina gan pale mbele? na je imeonekena ikifanya kazi bongo.. maana sijasikia imerud.. kuna mawili.. imerud kimya kimya au imedakwa huko.. kuondoa huu utata naomba kujua jina la hilo ndege na siku ilipoenekana huku bongo
Naona swali limekushinda sio..nayasubiria hayo mabwawa ambayo yapo on service na ni ya mikopokila kitu Kunyaland hujengwa kwa mikopo taja jina la Bwawa na wapi lipo, nikupe evidence mkopo ulitoka wapi!
Hao jamaa wameangalia upepo wameona wakimbie mashindano,hawatoshirikiSimba vipi mbn siioni.
As niko sure na ninachoongea taja jina la Bwawa na location hapo Kunyaland nikutajie mlichukua mkopo wapi! Kwa vile niko suree 100% all ur dams were financed through credits!Naona swali limekushinda sio..nayasubiria hayo mabwawa ambayo yapo on service na ni ya mikopo
Umeshikwa pabaya unaanza kuharibu mada,mama kesho anapokea ndege nyingine,mtaomba poo tu wakunyaMAMA HAFAI KABISA, Venus Star njoo huku uwaone wanaotetea mauaji
Iliyoenda China ipo poa tu na baada ya safari ya kwanza iliendelea kupiga freight flights . Remember wanaoingia China kwa sasa ni Chinese nationals peke yao na Diplomats, so hamna abiria wa kutosha IMO, ila Cargo nina uhakiaka inakamua.
View attachment 1872899
Naona ni Kitu ROBONDO ISLAND.
Mahali kama hapa kuna watu wengine wanapaita CBD kule kwao..