Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio ni tuzo ambayo hakuna nchi africa ilishawah kupata zaidi ya tanzania 😂😂😂 so hasira hazitasaidia
 
Venus Star wewe ni rafiki yangu lakini wacha nikushauri kwamba hapa hakuna haja ya kuleta udini. Udini utaleta matatizo mengi katika nchi yenu. Endeleeni kuwa wamoja. Ukabila au udini huwa unasambaratisha nchi nyingi sana.
 
Unamtukana Magufuli unataka tukuache tu.
Mwache Magufuli apumuzike kwa amani. Tukianza kupambana najua nyie watu wa pwani hamtuwezi watanganyika.
Dah! Isifike huku. Pendaneni. Nyinyi ni watu wa nyumba moja. Fikra kama hizi za kujiona tofauti na mwenzako ni hatari sana katika nchi yoyote ile. Jifunzeni kutoka kwa majirani zenu. Ethiopia, Kenya, Rwanda wote wamekuwa na vita vya kikabila na Somalia wana vita vya clan. Msikuze fikra hizo za kubaguana. Mjifunze kutoka kwa makosa ya jirani zenu.
 
Mawazo hatari kama haya ya kusema "nyinyi ndio mlimuuwa kiongozi wetu" ndio yalileta genocide kule Rwanda wakati Wahutu walikuwa wanawalaumu Watutsi kwamba wao ndio walimuuwa rais wao. Mawazo kama haya yanastahili kukemewa kabisa. Sio mawazo mema hata kidogo ndugu yangu. Jirudie na ujitazame vyema maana mawazo kama haya yanaweza kuchochea machafuko makubwa sana huko Tanzania.
 
Natumai ni Watanzania wachache mno ambao wana mawazo, dhana, fikra chachu na kali kama ya huyu ndugu yetu. Maana ikiwa kwamba Wabongo wengi wanahisi kwamba Magufuli kauwawa tena kauwawa na wapwani basi nchi yenu inajongea kwenye moto. Nimeshangaa kuona watu wanne ambao sitawataja wanalike hii comment hapa juu. Hio ni ishara tosha kwamba mawazo ya Venus imepata uungwaji mkono na Watanzania wengine. Hii ni hatari. Comment kama hii ya kichochezi haifai kuwa online maana yeyote anayeisoma anachochewa kimawazo kuwachukia Wazanzibari.
 
mwanamke sio urembo. waTz mnaamini sana kwa vijinyumba. sisi tunaamini kwa madini iliopo ndani. viwanda, HQ offices, yoooooote! yetu darSlum hamna chochote kile
 
Mimi hata siendelei kusoma hizo comments. Mumenichosha na huo udini wenu. Naona mnatamani vita vya kikabila au udini. Tuulize sisi tuwaeleze gharama na uchungu wa vita hivi. Kwaherini.
 
Hii mada ilishapita mzee tukakubaliana tuiache.
 
Mimi hata siendelei kusoma hizo comments. Mumenichosha na huo udini wenu. Naona mnatamani vita vya kikabila au udini. Tuulize sisi tuwaeleze gharama na uchungu wa vita hivi. Kwaherini.
Hakuna siku Tz itakuwa na vita vya ukabila au udini haitatokea kamwe.
 
Waliokuzaa Wana hasara maana wewe ni empty skull na huelewi unachoongea wala kuelimishwa.

Kwa ukili yako finyu umeambiwa chanjo ni tiba au ni booster ya Kinga? Kwani umeambiwa ukipewa chanjo ndio uko salama 100% ?

Viazi kama nyie kazi Sana kuelewa ,huwa unaambiwa fanya tohara kupunguza uwezekano wa kuambukizwa vvu,je tohara ndio Kinga au tiba? Yaani akili zako zinakutosha kukupeleka chooni tuu.
 
Hao ni wapumbavu wachache,huwa nawa challenge kwamba mtu wao alikuwa anajinasibu na ulinzi kama wa Kim sasa sijui ilikuaje external wakamfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…