Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, I bet you are not an Epidemiologist, neither a medical personnel,
Huna uhakika na chochote na hata WHO hawana uhakika na chochote kwenye Uviko 19,
Ukiwa na Hekima utaelewa kuwa handling ya Covid-19 ya JPM na nchi nyingine all of them yielded same outcomes in terms of mortality,
and probably JPM's way is far better sababu haikuathiri maisha ya watu kiuchumi.
May be ulitaka afunge nchi na aendee mikopo ya mabilioni ya Dola kama uhuru na m7
I also end this discussion here, nashauri tujikite kwenye Battle.
Huyu Joto amenishangaza sn.
 
Mkuu japo Sina nia ya kuendeleza huu mjadala, lakini Magufuli alifanya kosa kubwa Sana la kufofuata njia za sayansi katika kukabiliana na Corona badala yakealisisitiza njia za Imani ya dini na njia zingine ambazo hazikuthibitishwa kitaalamu Kama kufukiza.

Hata Kama morbidity na mortality hazikutofautiana au tulikua vizuri kuliko huko kwengine, lakini ni hatari kuongoza nchi kwa kubahatisha na kutumia Imani za dini katika nchi ambayo ni "secular" Kama Tanzania.

Hivi Kuna maana gani Kama nchi itawekeza katika kufundisha wataalamu wa Afya lakini mwishoni tukaacha kuamini tafiti za kitaalamu badala yake tunakimbilia kanisani na misikitini kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya maradhi?

Jambo lililokua linanishangaza ni pale ambapo Magufuli alikua mkali kwa viongozi wa dini waliokua wanaikosoa serikali yake, alikua akisema waache kuchanganya dini na siasa kwasababu huko wanaweza kuwachanganya watu, vipi yeye alichanganya dini na Sayansi ya tiba, huko sio kuwachanganya watu?
Aiseee......
 
Hii sasa ndio station yenu au ni choo? Upuuzi kabisa. Hata ninapata kinyaa kuangalia ujinga huu hapa
1627486995302.png
 
Mimi nilikuwa nakukumbusha wewe kuhusu kuweka vitu tofauti na thread. Wewe siku ile ulikuwa mkali kweli.

Nilijaribu kukusihi kwamba mbona watu wanaweka vitu tofauti humu. Uliahupaza shingo. Mimi niliweka picha hii:-
Lazy Lagoon, which is part of battle. Ulinichamba nikasema isiwe taabu. Nashangaa wewe umeng'ang'ana na kuweka issue ya chanjo.
View attachment 1869906View attachment 1869907
Huyo mtu anayeitwa Geuza Ulale huwa hachezi mchezo wa halali. Anacheza game rough. Yaani anakukaripia na kukudhalilisha kwa kupost picha ya Bagamoyo na huku yeye anapost picha ya Covid 19? Huyo jamaa ana matatizo ya akili. Usipoteze muda na yeye. Utapata presha bure.
 
Mzee unapenda ligi siyo!!? Nimejaribu kukukumbusha uache watu wafanye mambo kwa Uhuru.

Nimejaribu kukuonesha why wewe ulinikataza kuweka Lazy Lagoon ya bagamoyo ukidai ni nje ya mada!!? Halafu wewe leo unaweka issue ya chanjo which ni nje kabisa ya thread. Double standard. Ukiwa na msimamo simamia msimamo wako, usiwe kigeu geu.
Upo sawa hapa Venus. Usikubali huyo wazimu akunyanyase. Usikubali kamwe. Yeye ni nani kusema kitu gani kinapostiwa hapa? Hio ni kazi ya MODS. Akipenda atafute kazi ya kuwa mederator lakini sio yeye kujifanya mod wa huku.
 
Back
Top Bottom