Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitag mkipata tena hio tuzo, nikununulie supu ya albino

Dar es Salaam — The government admitted yesterday that poor supervision during execution of the Dar es Salaam bus rapid transit (BRT) project was to blame for frequent flooding at the transport network's head office.

The Minister of State in the Vice President's Office (Union Affairs and the Environment), Mr January Makamba, said implementation of the project did not take into consideration the advice of the National Environment Management Council (Nemc), which conducted an environmental impact assessment (EIA).

...
Hio ni tuzo ambayo hakuna nchi africa ilishawah kupata zaidi ya tanzania 😂😂😂 so hasira hazitasaidia
 
On a waislam wanavyopambania chanjo. Mpaka akina Dewij wanataka waikweke Tanzania mfukoni. Hatukubali. Msione tumekaa kimya mkadhani sisi ni wajinga.

Wakristo tupo pamoja.

Venus Star wewe ni rafiki yangu lakini wacha nikushauri kwamba hapa hakuna haja ya kuleta udini. Udini utaleta matatizo mengi katika nchi yenu. Endeleeni kuwa wamoja. Ukabila au udini huwa unasambaratisha nchi nyingi sana.
 
Unamtukana Magufuli unataka tukuache tu.
Mwache Magufuli apumuzike kwa amani. Tukianza kupambana najua nyie watu wa pwani hamtuwezi watanganyika.
Dah! Isifike huku. Pendaneni. Nyinyi ni watu wa nyumba moja. Fikra kama hizi za kujiona tofauti na mwenzako ni hatari sana katika nchi yoyote ile. Jifunzeni kutoka kwa majirani zenu. Ethiopia, Kenya, Rwanda wote wamekuwa na vita vya kikabila na Somalia wana vita vya clan. Msikuze fikra hizo za kubaguana. Mjifunze kutoka kwa makosa ya jirani zenu.
 
Utawezana na HIMA Empire.
Mnawaua watoto wa Nyerere mnadhani mtakuwa salama.

Mawazo hatari kama haya ya kusema "nyinyi ndio mlimuuwa kiongozi wetu" ndio yalileta genocide kule Rwanda wakati Wahutu walikuwa wanawalaumu Watutsi kwamba wao ndio walimuuwa rais wao. Mawazo kama haya yanastahili kukemewa kabisa. Sio mawazo mema hata kidogo ndugu yangu. Jirudie na ujitazame vyema maana mawazo kama haya yanaweza kuchochea machafuko makubwa sana huko Tanzania.
 
Kwanini usiende kuchanjwa pekee yako!? Sisi tuache na MATAGA na Sukuma Gang yetu.
Unamtukana Magufuli. Mtu amekufa bado unamsimanga. Vita ni vita mura ndio cheche zimeanza. Hatutaki kutawaliwa na Wazanzibar.

Mmemuua Magufuli halafu mnakuja kutukejeli.
Natumai ni Watanzania wachache mno ambao wana mawazo, dhana, fikra chachu na kali kama ya huyu ndugu yetu. Maana ikiwa kwamba Wabongo wengi wanahisi kwamba Magufuli kauwawa tena kauwawa na wapwani basi nchi yenu inajongea kwenye moto. Nimeshangaa kuona watu wanne ambao sitawataja wanalike hii comment hapa juu. Hio ni ishara tosha kwamba mawazo ya Venus imepata uungwaji mkono na Watanzania wengine. Hii ni hatari. Comment kama hii ya kichochezi haifai kuwa online maana yeyote anayeisoma anachochewa kimawazo kuwachukia Wazanzibari.
 
mwanamke sio urembo. waTz mnaamini sana kwa vijinyumba. sisi tunaamini kwa madini iliopo ndani. viwanda, HQ offices, yoooooote! yetu darSlum hamna chochote kile
 
Mimi hata siendelei kusoma hizo comments. Mumenichosha na huo udini wenu. Naona mnatamani vita vya kikabila au udini. Tuulize sisi tuwaeleze gharama na uchungu wa vita hivi. Kwaherini.
 
Natumai ni Watanzania wachache mno ambao wana mawazo, dhana, fikra chachu na kali kama ya huyu ndugu yetu. Maana ikiwa kwamba Wabongo wengi wanahisi kwamba Magufuli kauwawa tena kauwawa na wapwani basi nchi yenu inajongea kwenye moto. Nimeshangaa kuona watu wanne ambao sitawataja wanalike hii comment hapa juu. Hio ni ishara tosha kwamba mawazo ya Venus imepata uungwaji mkono na Watanzania wengine. Hii ni hatari. Comment kama hii ya kichochezi haifai kuwa online maana yeyote anayeisoma anachochewa kimawazo kuwachukia Wazanzibari.
Hii mada ilishapita mzee tukakubaliana tuiache.
 
Ndio mana nilikwwmbia wewe ni takataka usie elewa ....yani ata mana ya vaccine nishida nikweli kwamba vaccine inaongeza kinga mwili lakin haiishi apo lengo ni kumkinga muhusika na gonjwa au magonjwa flani. Swali je hii vaccine inafanya kinacho kusudiwa ?
Najua ww ni hamnazo ila acha nikulize ..ivi kama vaccine ikovyema kwanini kule visiwa vya shelisheli ambako by the way watu walio kuwa vaccinated ni more tha 60% lakini bado rate ya mambukizi iko juu zaidi?...utoto wako peleka kwa wajinga wenzio
Waliokuzaa Wana hasara maana wewe ni empty skull na huelewi unachoongea wala kuelimishwa.

Kwa ukili yako finyu umeambiwa chanjo ni tiba au ni booster ya Kinga? Kwani umeambiwa ukipewa chanjo ndio uko salama 100% ?

Viazi kama nyie kazi Sana kuelewa ,huwa unaambiwa fanya tohara kupunguza uwezekano wa kuambukizwa vvu,je tohara ndio Kinga au tiba? Yaani akili zako zinakutosha kukupeleka chooni tuu.
 
Natumai ni Watanzania wachache mno ambao wana mawazo, dhana, fikra chachu na kali kama ya huyu ndugu yetu. Maana ikiwa kwamba Wabongo wengi wanahisi kwamba Magufuli kauwawa tena kauwawa na wapwani basi nchi yenu inajongea kwenye moto. Nimeshangaa kuona watu wanne ambao sitawataja wanalike hii comment hapa juu. Hio ni ishara tosha kwamba mawazo ya Venus imepata uungwaji mkono na Watanzania wengine. Hii ni hatari. Comment kama hii ya kichochezi haifai kuwa online maana yeyote anayeisoma anachochewa kimawazo kuwachukia Wazanzibari.
Hao ni wapumbavu wachache,huwa nawa challenge kwamba mtu wao alikuwa anajinasibu na ulinzi kama wa Kim sasa sijui ilikuaje external wakamfikia
 
Back
Top Bottom