Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hivi nchi ipo chini ya Wazanzibar hawana uchungu na nchi yetu wataiuza na wajenge kwao Zanzibar.

Ona sasa hivi akina AZAM wanachukua mali Tanganyika na wanajenga kwao Zanzibar.
We jamaa mbona leo unatema pumba hivi, yani miaka yote hyo ilikua huwaoni umeanza kuwaona wakati mama kaamua kuchanja...

Angalau leo umefunguka akili kuona ya kwamba wale machottlhara yenye asili ya kizanzibar na wahindi ndio wanaikwapua tanzania[emoji1787]
Pole sana
 
Mzee tunaishi kwa staha tu.
Lakini kuna moto unafukuta chini ukilipuka sijui ni nani wa kuuzima.
 
Serikali inauwezo wa kuboresha sehemu zote za wazi, kukiwa na nia ya dhati. Unataka kuwapa wakina Manji sehemu ya umma, vijana (25 - under) ambao ni zaidi ya nusu ya population wawe wanaenda wapi?
Wengine wanaenda wapi? Unawapa bure au wanakuwa investors. Hao vijana wakienda huko beach wanaleta tija gani?

Private sector wachukue walete pesa hizo hadithi za sijui Nia sijui nini hakuna cha maana kinafanyika.
 
Nimekupuuza. Unaendekeza udini.
mi nimemtaja Gwajima sijataja Ukristo! najua Wewe unataja Uislam shame on you! U r pathetic my friend huwezi shindana na mimi kwenye hili na naujua unachotafuta kunilinganisha na upumbavu uliondika leo wa kukashifu viongozi kuua familia ya Nyerere na pia Magufuli na Mkapa! U r simply too shallow! leta povu, saahii litakuwa la ugoro!
 
mtanzania ni namba moja Africa nzima
Hawa mbwa kwenye huu mchezo ndo huwa hawamo kabisa, kazi kukazania michezo mepesi mepesi, hii ya kiume huwezi kuwaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dawa ipo jikoni naichemsha utainywa tu labda ukimbie huu Uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…