Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ushawahi kuona nchi maskini inajenga electrical SGR, Biggest hydroelectric power in the region, BRT system, longest cable stayed bridges in the region tena kwa pesa za ndani?
Atakuonesha project ya mchina expressway πŸ˜‚ pesa za mchina ,itamilikiwa na mchina miaka 30 na ushuru wote atachukua mchina kwa miak 30
 
Yani Tanzania kutoka LDC Ni maybe huko 2090πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Hata hvo world bank wamenijibu hvo hvo lakini wamesema system imekataa ku delete mpaka 2090 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Bado huku hawajatoa sijui kwann ngoja niwapigie tena πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Huko hueziona juu ni ya 2020, ya 2021 ndio hii hapa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

Maumbwa wote chalii
images (26).jpeg

images (28).jpeg
 
walisahau kutoa sasa nimwaambia kuna mchumi mmoja anatokea kenya anaitwa Teargas kasema hatufai kuwapo hapo kaoteshwa na kenyatta
Tanzania kuingia Uchumi wa kati ni kitu kinachowauma mnoo.

Tanzania ina mwaka na kitu sasa tangu iwe categorized kama middle income lakini bado wanaumia tangu mwaka jana

According to the World Bank, middle-income countries (MICs) are defined as economies with a gross national income (GNI) per capita between $1,036 and $12,535.

Embu atuambie ya Tanzania ni $ ngapi.
 
The most disorganized city in africa...hadi kina Mogadishu ni miji maskini lakini wako na a bit of planning.....dar is a lost case natumai dodoma hawatarudia the same mistakes
Lakini ajabu slum hakuna na hutapata mpaka dunia itasmama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na huyo mwenye technology hakuiona na hatuiona vile vile
 
Tanzania kuingia Uchumi wa kati ni kitu kinachowauma mnoo.

Tanzania ina mwaka na kitu sasa tangu iwe categorized kama middle income lakini bado wanaumia tangu mwaka jana

According to the World Bank, middle-income countries (MICs) are defined as economies with a gross national income (GNI) per capita between $1,036 and $12,535.

Embu atuambie ya Tanzania ni $ ngapi.
Mbwa ukimjua jina hakupi tabu wala hata usihangaike nao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko hueziona juu ni ya 2020, ya 2021 ndio hii hapa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

Hii hapa 2021 mpaka 2022 lakini hawajatoa ngoja niwapigie tena wajitahidi kutoa πŸ˜‚πŸ˜‚

Tanzania kuingia Uchumi wa kati ni kitu kinachowauma mnoo.

Tanzania ina mwaka na kitu sasa tangu iwe categorized kama middle income lakini bado wanaumia tangu mwaka jana

According to the World Bank, middle-income countries (MICs) are defined as economies with a gross national income (GNI) per capita between $1,036 and $12,535.

Embu atuambie ya Tanzania ni $ ngapi.
I pity youπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

2738104_JamiiForums-1885051160.jpg
 
Ushawahi kuona nchi maskini inajenga electrical SGR, Biggest hydroelectric power in the region, BRT system, longest cable stayed bridges in the region tena kwa pesa za ndani?
Aloo waandikie barua world population review kuhusu malalamishi yako. Mimi ntakusaidia vipi 🀣 🀣 🀣
 
Hii hapa 2021 mpaka 2022 lakini hawajatoa ngoja niwapigie tena wajitahidi kutoa πŸ˜‚πŸ˜‚

Leo July 01 2020 imekuwa 2021 kwakoπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Nahisi 2021 mpaka 2022 haijawa 2020 bado wataitoa usijal πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

The most disorganized city in africa...hadi kina Mogadishu ni miji maskini lakini wako na a bit of planning.....dar is a lost case natumai dodoma hawatarudia the same mistakes
Ndio mji wenye towers nyingi km upupu EA

Ndio mji wenye millionaires wengi EA

Ndio mji wenye billionaire pekee EA

Ndio mji mkubwa na maarufu zaidi EA

Ndio mji msafi zaidi EA

Ndio mji wenye infrastructures za kisasa zaidi EA, kwanini usiumie
 
Usijisumbue tafadhaliπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

Sio mm wao wamesema wataitoa 2090 sio mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Back
Top Bottom