tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Unaleta hadi majengo yako u/c na mitaa lami hakuna?kumbe nyani haoni kundule
Unaleta hadi majengo yako u/c na mitaa lami hakuna?kumbe nyani haoni kundule
Sehemu ambayo more than half of Naiporians live you call it sehemu ndogo? You are not serious.Pia wewe haupendi ukweli?.., na tukiwaonyesha sehemu kubwa ya Nairobi ilivyo jengwa kwa mpangilio mnalia lia na kibera kasehemu kadogo ukilinganisha na kwingineko.., kama Eastlands..,
Tuusan hii ni rongai kilomita 20 kutoka nairobi. Wanaigeria wanakimbia kwao lagos kujibana huku.Tatizo hauna focus ,upo kuvuruga tu
Hakuna lami? Jaman jaman mm nilidhan kila estate imezungukwa na lami [emoji23][emoji23]Alooo hii ni ruaka 20km away from nairobiView attachment 1864297View attachment 1864299View attachment 1864300
Lami ziko wapi?Tuusan hii ni rongai kilomita 20 kutoka nairobi. Wanaigeria wanakimbia kwao lagos kujibana huku.
View attachment 1864310
View attachment 1864306View attachment 1864308
60% ya wakazi wa nairobi ni Eastlands., unajua Kibera iko wapi kweli? na ni watu wangapi?.., utasema 2.5million ile pambio yenu ya propaganda., 😂😂, ukweli ni uchungu kwa mtanzania, ila sisi tuta anika tu facts, nyie mwageni porojo.., ama uko na makazi ya kuleta kutoka Dar is slum?.., weka humu wacha domo domo..,Sehemu ambayo more than half of Naiporians live you call it sehemu ndogo? You are not serious.
Kwahio hutaki mijengo wataka lami sio, alafu majina huweki sijui unaficha nini.Hakuna lami? Jaman jaman mm nilidhan kila estate imezungukwa na lami [emoji23][emoji23]View attachment 1864312View attachment 1864315View attachment 1864314
coco beans tulia knyama ni hii. View attachment 1864322View attachment 1864323Picha kali chukia like, kijitonyama ñdo hiiView attachment 1864091
Hii ni pipeline tuusan, mkiambiwa nyinyi ni maskini wa dunia mnashangaaLami ziko wapi?
Eastlands.., sehemu 60% of Nairobi residents reside..,Sehemu ambayo more than half of Naiporians live you call it sehemu ndogo? You are not serious.
Nbo ama Mogadishu?Hii ni pipeline tuusan, mkiambiwa nyinyi ni maskini wa dunia mnashangaaView attachment 1864319View attachment 1864330View attachment 1864331
Rent huku inachezea from $75, $100 t0 $400., kulingana na sehemu, pia kune sections za $500 t0 $700 in a well gated courts na number of bedrooms..,tuusan umelose hope? This is eastlands, where most nairobians stay. Here monthly rent is around $300- $500.
View attachment 1864273View attachment 1864288
tuusan hii CBD yenyu utaita nini kama pipeline ni Mogadishu.., Kabul, Afghanistan.., 😂 😂 aibu..,Nbo ama Mogadishu?
Hili dude walilete karakana ya morogoro walipodoe liwe angalau.Dude lina speed ya 40km/hr[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1863799
Kwani hiyo figure ya 2.5m unafikiri tumeiokota tuu ama?60% ya wakazi wa nairobi ni Eastlands., unajua Kibera iko wapi kweli? na ni watu wangapi?.., utasema 2.5million ile pambio yenu ya propaganda., [emoji23][emoji23], ukweli ni uchungu kwa mtanzania, ila sisi tuta anika tu facts, nyie mwageni porojo.., ama uko na makazi ya kuleta kutoka Dar is slum?.., weka humu wacha domo domo..,