Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo ni kali sana hiyo nayo siwezi danganya mahali walikua ndo pabaya hiyo sehemu ya downtown watu Huwa wanaiogopa kwa snachersz si town yote that's why wal8enda huko kushoot video hadi walinunua simu fake for that purpose
Kenya nzima ndio iko hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka tuone maneno ya nn, mnadhani tulifika kimchezo mchezo hapo? Tumepambana, nanyie mpambane mpunguze msitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha kuwa washamba bro modern towns spe d alot to have a green belt in there towns deforestation is never modernisation bro nikama hujawai safiri inje ya dah uko na ushamba mwingi
 
Kenya nzima ndio iko hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukisema kenya nzima niku stereotype nikama niseme watanzania wote wanachinja albino would that make sense??? Ama watanzania wote ni ombelea because of tanzania beggars in nairobi street ..... stop stereotyping
 
Weka tuone maneno ya nn, mnadhani tulifika kimchezo mchezo hapo? Tumepambana, nanyie mpambane mpunguze msitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nimegundua buildings in dah katikati zinafanana na za estates huku nairobi that I can proof inakaa residential estates for watu wa kawaida lemmie post for you
 
Lazima tu mukuwange na uchafu town nkt! Very disorganised town
View attachment 1863624View attachment 1863626
Screenshot_20210722-210249.jpg
Screenshot_20210722-210232.jpg
 
Dar be looking like apartments in kenya 🤣🤣🤣🤣 let's start a challange dar post a building in cbd I post an residential apartment we see who wins 😀😀😀 let me begin
images - 2021-07-22T211504.706.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣 hiyo ni kali sana hiyo nayo siwezi danganya mahali walikua ndo pabaya hiyo sehemu ya downtown watu Huwa wanaiogopa kwa snachersz si town yote that's why wal8enda huko kushoot video hadi walinunua simu fake for that purpose
Kwann musiseme muna maisha magumu alaf ukanyamaza

Simple and clear 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom