Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar is so disorganized with BRT that is a plus but with the city planning zero % everything is thrown all over so many poor quality buildings in town
Majengo quality kunya landi ni Mali ya muzungu ,kunya ipo kwa upepari toka mkoloni kile chanye mukunya kapata ni slum tu
 
Hiko kitu Wakenya wanapaswa kujiuliza sana. hofu yao ya kupoteza kiti iko juu sana, kasi yetu ya maendeleo ni kubwa mno we are not joking at all,tunapiga vitu left right ups and downs tena vitu vya uhakika wao wako bize na mikopo mikopo yenyewe hawako nayo serious wanadokoa humo humo.Endeleeni hivyo hivyo rasilimali zenyewe za kuhesabu.
Hayo maendeleo "kubwa mno" yako wapi ni 2021 hatuyaoni., ama ni SGR ya umeme? ni nini hizo mnajenga tuzione humu., maana kila kitu mmeanika na bado mnaendelea kuongeza mifukara ukanda huu.., Dar ndio ilisimama, haisongi tena!., ufukara ndio inapanua mji iwe kubwa., bado roads hamjakaribia Nairobi.., so ni nini hizo mnajenga hadi waleo miaka zaidi ya tano sasa!!.., ama ni Kibaha??.., what????.., domo domo tu.., 😂 😂 😂
 
Hiko kitu Wakenya wanapaswa kujiuliza sana. hofu yao ya kupoteza kiti iko juu sana, kasi yetu ya maendeleo ni kubwa mno we are not joking at all,tunapiga vitu left right ups and downs tena vitu vya uhakika wao wako bize na mikopo mikopo yenyewe hawako nayo serious wanadokoa humo humo.Endeleeni hivyo hivyo rasilimali zenyewe za kuhesabu.
Kujidanganya ndo mujitie moyo si vibaya sasa hivi GDP kenya and tanzania gap imeongezeka nyinyi ni kelele tu mnayo
 
Tanzania people are so delusional just lie to them with shiny big projects they will go shouting alover without really questioning the return of investment of the projects
 
Tomorrow I'll come back na data za number of schools between Kenya and Tanzania na huko pia Tanzania inashika mkia kama kawa😂😂.
Kenya ni wazee wa kupandisha data hata kuhonga mtahonga ili muonekane mpo juu lakini kwa ground aaaah.kiboko yenyu ni mchina mkipandisha naye anapandisha
 
Kenya ni wazee wa kupandisha data hata kuhonga mtahonga ili muonekane mpo juu lakini kwa ground aaaah.kiboko yenyu ni mchina tu.
hahaha eti kupandisha data??? w uliskia wapi bro penye mumeshindwa mnakubali si kuleta vijisababu hafifu kujitetea..... tanzania ndo huwa nanadanganywa na serikali yao usiku kucha hakuna ambacho serikali ya tanzania inaeza sema niamini hadi hata kuficha raisi wao alipokufa
 
Upper hill, CBD, Westlands Nairobi kwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umesahau industrial area, huligharm, kileleshwa, kilimani, parklands, highrise, ngara, kariakoo, kamkuji, gikombaa, riverside
 
umesahau industrial area, huligharm, kileleshwa, kilimani, parklands, highrise, ngara, kariakoo, kamkuji, gikombaa, riverside
Zote sehemu moja kamji kadogooo adi raha aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Very poor quality buildings nkt does dah have a city planning committee really ama anybody builds anywhere
Najua slum boy na koti lako hauna bando nionyeshe picha ya cbd drone ya nairobi ya mchana tuone
 
why dont we today compare nairobi residential estates vs dars residential estates
Kwnn tuanze na residential estates, kwnn tusianze na residential houses za wananchi wa kawaida zen tuje kwenye estates unasemaje? Mm naanza au sio [emoji3][emoji3]
IMG_20210718_175911_717.jpg
IMG_20210718_175846_037.jpg
IMG_20210718_175756_097.jpg
IMG_20210718_175708_787.jpg
IMG_20210718_175821_161.jpg
IMG_20210718_175757_829.jpg
IMG_20210718_175722_045.jpg
IMG_20210718_175911_717.jpg
 
Weka picha za makazi unapoishi wewe mwenyewe zen twende kwenye hizo estates wanazoishi wafanyabishara na wafanyakazi wenye kipato cha kati au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom