Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

33905980-A3F5-42DD-B982-B39787ECC2FA.jpeg
 
Unapata wapi ujasiri wa kutengeza takwimu za kujiweka juu kwa taifa kama Tanzania kwenye masuala ya infrastructure 😂😂 Dah.! Taifa lililo tengeneza almost 800km SGR ndani ya miaka mitano.? Madaraja makubwa Afrika mashariki, modern international airports, meli za kutosha, vivuko, hospital kubwa kubwa na ndogo kila mahali, stendi za mabasi za kisasa kabisa, uboreshaji miji, shule za kutosha, masoko yakisasa, ujenzi wa mji wa serikali with 51km roads, dual outer ring road 115km.. alaf eti niamini takwimu zako za kipuuz na nyie miradi yenu kila siku mnapost hapa upuuzi mtupu.. si nitakua kichaa sasa.?
After counting all those things you still remain behind Uganda.

IMG_20210712_220639.jpg
 
Bro acha kutumia uongo uongo mzee hautakusaidia kitu 😂😂😂.. kwanini msikubali ukweli..? Naona umetaja interchanges 50 😂😂 zipo wapi sasa mbona hatuzioni.? taja moja moja basi, suala la umeme mtueleze sasa ndani ya miaka mitano infrastructure za umeme nani amewekeza zaidi Kati ya nyinyi na sisi.? Eti 50 flyover 😂😂😂. Kwenye barabara uko kaa mbali sana usiguse kabisa since tz ni kubwa geographically kuliko kenya .. eti electricity connectivity ni 2.7 households Halafu mda huo huo unakubaliana na data za watanzania wenye dikoda ni zaidi ya 3m people 😂😂😂 we ni mpuuzi mmoja
Wewe Ni mjinga kweli kweli 😂😂😂.

Decoder sio lazima itumie electricity, inaezatumia hata generator.

People connected to electricity in Tanzania ni 2.7M unless uko data ya kupinga.

Unasema nisiongelee mambo ya barabara wakati Kenya iko kilometers 21,000 za lami while Tanzania only have 9,000km😂😂😂.

Tanzania iko na interchanges mbili na flyover moja, hiyo huezipingana nayo.

Electricity connectivity in tanzania ni 37% compared to Kenya's 70%

Electricity access rate ni 40% in Tanzania while it's 85% in Kenya.


N/B: Tanzania can't compete with Kenya in anything.
 
Weka vitu current sio vitu vya 5 years ago. Ndio maana wakenya wengi bado wana mentality ya kizamani sana kuhusu TZ hawajui kuwa Tz has changed alot.
So 2020 ni 5 years kwako?😂😂😂👇👇👇

13144378_fbimg1613372094479_jpeg574da9dcad87218efe9ba9600446495b.jpeg
 
Bro acha kutumia uongo uongo mzee hautakusaidia kitu [emoji23][emoji23][emoji23].. kwanini msikubali ukweli..? Naona umetaja interchanges 50 [emoji23][emoji23] zipo wapi sasa mbona hatuzioni.? taja moja moja basi, suala la umeme mtueleze sasa ndani ya miaka mitano infrastructure za umeme nani amewekeza zaidi Kati ya nyinyi na sisi.? Eti 50 flyover [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwenye barabara uko kaa mbali sana usiguse kabisa since tz ni kubwa geographically kuliko kenya .. eti electricity connectivity ni 2.7 households Halafu mda huo huo unakubaliana na data za watanzania wenye dikoda ni zaidi ya 3m people [emoji23][emoji23][emoji23] we ni mpuuzi mmoja
We kweli mshamba mzee, kwn wote wanaotumia decorders bongo wanategemea umeme wa tanesco
 
Poor engineering! unaringia nani pedestrian bridge inaitwa msalani?
123144200_2963399840571636_4437882100506206633_n.jpg




Bwahaha!!engineer kasema, mbona basi haikubomoka licha ya mafuruki ila ulimomonyoka udongo wa pembeni tu

Alafu serekali yetu ya ajabu sana, yani inajenga kitu km hiki kimya.nadhani hata uzinduzi haukupeperushwa live..
Yani hapa ingelikua bongo we acha2
 
Huyo ni mshamba achana naye[emoji23][emoji23][emoji23].
Mpka ninecheka aisee, kuna wengine sio hawajui umeme kwao utafika baada ya jiwe kuwasambazia magogo barabarani huku akiwaacha bila hata ya kuwaunganishia
 
Bwahaha!!engineer kasema, mbona basi haikubomoka licha ya mafuruki ila ulimomonyoka udongo wa pembeni tu

Alafu serekali yetu ya ajabu sana, yani inajenga kitu km hiki kimya.nadhani hata uzinduzi haukupeperushwa live..
Yani hapa ingelikua bongo we acha2
yani hapa ingekua bongo. dunia mzima hio...😂
hehe. kwanza ile day waliingia 2nd income economy in 2018,. hio nilijua thru ABC News ya US, na sio TBC
 




MY TAKE
Hili ni bomu linalotarajiwa kulipuka soon! pedestrian overpass/underpass vp hapa?
 
Back
Top Bottom