ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ila standard yake iko vzr sana 🙌Hii barabara inaenda polepole Wajapan sijui wamekuwaje? 😡
Ila standard yake iko vzr sana 🙌Hii barabara inaenda polepole Wajapan sijui wamekuwaje? 😡
Kwa sote bro 🙏🙏🙏Eid el fitr Ustaaadh!
Tueleze ni mradi gani tanzani imeiga kenya ukipata mmoja tu nitag 🤣🤣🤣 akili uliacha choonitu,.. nabambika sana sana vile watz wanatumia kenya kama their benchmark kwa kila mradi yao. they like comparing themselves somuch with kenya. whilst wakenya wengine hata hawajui tz iko wapi. sisi sawa na SA ni ligi soo
Cable stayed bridge kenya ilijengwa kijijini hko hata wenywe hawashtuki wanavushia ngombe na mazao yaoCable stayed bridge over lake Victoria iko Mwanza nyie hata Moja hamna huo ni mfano mdogo tuu
what is ur comment kwa hii maneno?Tueleze ni mradi gani tanzani imeiga kenya ukipata mmoja tu nitag 🤣🤣🤣 akili uliacha chooni
foot bridge!Cable stayed bridge kenya ilijengwa kijijini hko hata wenywe hawashtuki wanavushia ngombe na mazao yaoView attachment 1861004
Hivi ninyi kunguni mlishafika huko SA au mnapasikia tu?tu,.. nabambika sana sana vile watz wanatumia kenya kama their benchmark kwa kila mradi yao. they like comparing themselves somuch with kenya. whilst wakenya wengine hata hawajui tz iko wapi. sisi sawa na SA ni ligi soo
Cable stayed bridge kenya ilijengwa kijijini hko hata wenywe hawashtuki wanavushia ngombe na mazao yaoView attachment 1861004
RainsVitu kwa ground!! Masalani bridge after short rains!
![]()
BTW
Unaitaje bridge Msalani?



nime kwisha fika pale msenangu... pretoria mwanzo.. a one week seminar (2017) under AfDB funded project. punguza uwivu shoga wanguHivi ninyi kunguni mlishafika huko SA au mnapasikia tu?
Unaniuliza mimi, en km ni footbridge itakua wamecheza sana manake mi sijafika ijarafoot bridge!