Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,728
- 107,173
Hii barabara inaenda polepole Wajapan sijui wamekuwaje? 😡Kijitonyama area
Iphone 12 pro🎬View attachment 1860965View attachment 1860966View attachment 1860968
Mm au wewe kuna watu wana antena na wanapata channel kuna watu wanatumia decoder za arabsat fal ww 🤣🤣 mambo kama hayo mutajifunzia wapi pimbi weweNilikuambia urudi shule wewe, unajua maana ya decoder kweli?😂😂😂 Dish and decoder go together cause decoder haiezifanya kazi bila dish na pia mtu haezitumia dish bila decoder. Rudi shule kijana,😂😂
Sinilisema source AFDb 2016 🤣🤣🤣🤣 yani investment ya infastructure inayofanyika tanzania nyinyi itawachukua 50 yrs from now mlichobakia wapeni wachina barabara wajenge wachukue income zao kwa miaka 30 basi hakuna kitu mutajenga kwa pesa yenu kwasababu uchumi uko over 80% debt to GDP ratio 🤣🤣🤣 munakula mpaka pesa za wanajeshi wanenda pigana vita somaliThose pictures haitafanya Tanzania ikuwe mbele ya Uganda in infrastructure 😂😂😂, data ya 2020 ndio hiyo👇👇👇
View attachment 1860622
Eid el fitr Ustaaadh!
Is kenya more developed than tanzania? Ww unaongealea uganda wakat nyinyi wenyewe hoihae😀😀😀Will that make Tanzania more developed than Uganda?😂😂😂
Inaelekea hujui maana ya MEMU wewe kaa kimya.Naona umekasirika kuskia sgr dume km ndio baba lao ukanda huu..
Alafu ile siku utanionyesha tz mume oder MEMU mnitag please
Data mama ngina 😂😂😂😂bado unaongelea paved roads hujakoma tu bado unaongelea electricity hujakoma tu 🤣🤣Miradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;
1. Electricity connectivity in Kenya is 7.5M households against Tanzanian 2.7M.
2. Paved roads in Kenya is 21,000km against Tanzanian 9,000km.
3. Over 50 interchanges in Kenya against 2 interchanges in tanzania.
4. Over 50 flyovers in Kenya against 1 flyover in Tanzania.
5. 85% electricity access in Kenya against 40% in Tanzania.
naipa Kijiji cha Makumbusho miaka mitano soon itaondoka pale! natamani aje investor atakayeweka better land usage pale yaani kujenga vertical kuwezesha a better usage of that prime location yaani zile nyumba ziwepo lakini pia kuwe na matumizi zaidi ya ile sehemu!! Yaani a modern exhibition hall!
Nunua na wewe sasa 🤣🤣 hata ndoto ya probox hunaIle sio black badge. You are so simplistic. That's a base model cullinan.
Huyo mumzoee anamachungu sana 😂😂😂Bro acha kutumia uongo uongo mzee hautakusaidia kitu 😂😂😂.. kwanini msikubali ukweli..? Naona umetaja interchanges 50 😂😂 zipo wapi sasa mbona hatuzioni.? taja moja moja basi, suala la umeme mtueleze sasa ndani ya miaka mitano infrastructure za umeme nani amewekeza zaidi Kati ya nyinyi na sisi.? Eti 50 flyover 😂😂😂. Kwenye barabara uko kaa mbali sana usiguse kabisa since tz ni kubwa geographically kuliko kenya .. eti electricity connectivity ni 2.7 households Halafu mda huo huo unakubaliana na data za watanzania wenye dikoda ni zaidi ya 3m people 😂😂😂 we ni mpuuzi mmoja
😂😂😂😂😂 alaf anajifanya kasoma huyoWacha ushamba wewe decorders ni kwa subscription TV na unaweza ukawa na dish usiwe na decorder pia.
Kawaulize trc hata wao itakua hawajui maana yakeInaelekea hujui maana ya MEMU wewe kaa kimya.
Haswaa yani wao hudhani hii ni ile tz ya 90s 😂😂😂😂Weka vitu current sio vitu vya 5 years ago. Ndio maana wakenya wengi bado wana mentality ya kizamani sana kuhusu TZ hawajui kuwa Tz has changed alot.
Cable stayed bridge over lake Victoria iko Mwanza nyie hata Moja hamna huo ni mfano mdogo tuuww ndo jinga zaidi. hebu tuoneshe chochote cha ajabu tz. nje ya darslum. hakuna! kwingine kote ni vichakani na vijiji vya ujamaa
Mwenzenu anatoa machungu ya maisha humu🤣🤣🤣Akili mafiii uyoo
Inategemea unaongelea kuhusu decorders zipi na pia vile viel tv ganiWacha ushamba wewe decorders ni kwa subscription TV na unaweza ukawa na dish usiwe na decorder pia.