Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka miradi mliofanya ndani ya miaka mitano tushindane Ili mtushinde hapa, hizo takwimu ni kujifurahisha tu kwasababu sio fact
Miradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;
1. Electricity connectivity in Kenya is 7.5M households against Tanzanian 2.7M.
2. Paved roads in Kenya is 21,000km against Tanzanian 9,000km.
3. Over 50 interchanges in Kenya against 2 interchanges in tanzania.
4. Over 50 flyovers in Kenya against 1 flyover in Tanzania.
5. 85% electricity access in Kenya against 40% in Tanzania.
 
Ebu andika hiyo yako tuone?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 1860685View attachment 1860686View attachment 1860687
Unapata wapi ujasiri wa kutengeza takwimu za kujiweka juu kwa taifa kama Tanzania kwenye masuala ya infrastructure ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Dah.! Taifa lililo tengeneza almost 800km SGR ndani ya miaka mitano.? Madaraja makubwa Afrika mashariki, modern international airports, meli za kutosha, vivuko, hospital kubwa kubwa na ndogo kila mahali, stendi za mabasi za kisasa kabisa, uboreshaji miji, shule za kutosha, masoko yakisasa, ujenzi wa mji wa serikali with 51km roads, dual outer ring road 115km.. alaf eti niamini takwimu zako za kipuuz na nyie miradi yenu kila siku mnapost hapa upuuzi mtupu.. si nitakua kichaa sasa.?
 
Miradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;
1. Electricity connectivity in Kenya is 7.5M households against Tanzanian 2.7M.
2. Paved roads in Kenya is 21,000km against Tanzanian 9,000km.
3. Over 50 interchanges in Kenya against 2 interchanges in tanzania.
4. Over 50 flyovers in Kenya against 1 flyover in Tanzania.
5. 85% electricity access in Kenya against 40% in Tanzania.
Bro acha kutumia uongo uongo mzee hautakusaidia kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. kwanini msikubali ukweli..? Naona umetaja interchanges 50 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ zipo wapi sasa mbona hatuzioni.? taja moja moja basi, suala la umeme mtueleze sasa ndani ya miaka mitano infrastructure za umeme nani amewekeza zaidi Kati ya nyinyi na sisi.? Eti 50 flyover ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kwenye barabara uko kaa mbali sana usiguse kabisa since tz ni kubwa geographically kuliko kenya .. eti electricity connectivity ni 2.7 households Halafu mda huo huo unakubaliana na data za watanzania wenye dikoda ni zaidi ya 3m people ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ we ni mpuuzi mmoja
 
Nakwambia hivi wadigo na maasai halisi wanapatikana kenya..
We unajua nini bana
Ni kweli wadigo asili yao Kenya, walivamia Tanga wakawapiga wabondei pale Tanga mjini wakashinda vita basi yakawa makazi yao, Mimi mwenyewe baba yangu mdigo, mama angu Msambaa .. lakini wamasai asili yao Arusha mjini kabisa pale.
 
Miradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;
1. Electricity connectivity in Kenya is 7.5M households against Tanzanian 2.7M.
2. Paved roads in Kenya is 21,000km against Tanzanian 9,000km.
3. Over 50 interchanges in Kenya against 2 interchanges in tanzania.
4. Over 50 flyovers in Kenya against 1 flyover in Tanzania.
5. 85% electricity access in Kenya against 40% in Tanzania.
Miradi ya mikopo sio?
 
Na nikisema Uganda is ahead of Tanzania in infrastructure mnaona vibaya. Now see what Uganda is building, itawachukua karne Saba kujenga something like that.
You just sound like a little fool keep it up slic
 
Nilikuambia urudi shule wewe, unajua maana ya decoder kweli? Dish and decoder go together cause decoder haiezifanya kazi bila dish na pia mtu haezitumia dish bila decoder. Rudi shule kijana,
Wacha ushamba wewe decorders ni kwa subscription TV na unaweza ukawa na dish usiwe na decorder pia.
 
Back
Top Bottom