Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Mbona ghorofa limepinda? 👇 👇 😳Burhani tower, Mombasa nasema kila siku imezidii darView attachment 1860114View attachment 1860115
Mbona ghorofa limepinda? 👇 👇 😳Burhani tower, Mombasa nasema kila siku imezidii darView attachment 1860114View attachment 1860115
NtakushowWataka kweli mkuu au wazuga tu



, angalia reaction za kila kitu hapo kwenye picha hadi kwa mama yule kule ndani
😂😂😂😂😂😂😂 yani hamulali mukiwaza dar unatuonesha nn wewe jingaBurhani tower, Mombasa nasema kila siku imezidii darView attachment 1860114View attachment 1860115
Hebu tazama kwa umakini mwanza port 👇👇Dredging at kisumu port, kenya ikishikwa na homa UG inapata mafua.View attachment 1860157View attachment 1860158View attachment 1860159
Azam kamchapa bakora dstv
Wazee wa Subaru kenya kazi ni kukunywa pombe wamewaachia wazungu waki participate 😂😂NEXT STOP TZ THIS WEEKEND KUWATOA KIVUMBI🤣😆View attachment 1860196View attachment 1860234
Others use cables kuna kampuni nyingi sana za cable kenge wewe 😀😀😀😀So only 3M households have decoders in Tanzania? Poor country indeed 😂😂😂😂.
229m usd wakat sisi tumetumia more than 300m usd kuagiza modern bullet trains wewe vp mzee 🤣🤣🤣🤣🤣Na nikisema Uganda is ahead of Tanzania in infrastructure mnaona vibaya. Now see what Uganda is building, itawachukua karne Saba kujenga something like that.
Sisi hatujengi kwa kukurupuka ovyo tunajenga kwa akili na uhitaji 😂😂 sio nyinyi munaenda jenga overpass ya matofali nakukuru wakat hakuna uhitaji leo munashangaa debt to GDP ratio iko over 80% alaf munatafuta mchawiNa nikisema Uganda is ahead of Tanzania in infrastructure mnaona vibaya. Now see what Uganda is building, itawachukua karne Saba kujenga something like that.
Na hapo sijaona Canal.Others use cables kuna kampuni nyingi sana za cable kenge wewe
Haya niletee statistics za kenya wakitumia decorders
Ngoja akatengeneze statistic za kenya atuketee hapa alaf tumnyooshe 🤣🤣🤣Na hapo sijaona Canal.
Sijaona vile vidishi vidogo vyeupe.
Sijaona yale madishi meusi yenye chekecheke.
Sijaona yale madishi makubwa meupe.
Sijaona vile Ving'amuzi vidogo vya antenna.