Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi yenu ya kwenda Uganda? Uganda is the market we were talking about. Ama ushachanganyikiwa ukasahau area of discussion?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi pipeline yenu yenye uwezo wa kusafirisha crude oil ya Uganda kwenda Kenya, soko la Uganda tunalopigania ni kwa ajili ya mafuta ghafi ya Uganda kufikia duniani, sio kwa ajili ya kupeleka mafuta Uganda
 
Wapi yenu?
 
Unakaribishwa kuja kupanda bullet train ya Kwanza Africa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hiyo yenu sio bullet train, the only bullet train in Africa Ni ya Morocco which travels at a speed of 320km/h. Hiyo ya Tz Ni same tu na ya Kenya.
 
Hiyo yenu sio bullet train, the only bullet train in Africa Ni ya Morocco which travels at a speed of 320km/h. Hiyo ya Tz Ni same tu na ya Kenya.
Acha matusi train ya diasel ni Sawa na treni ya umeme na mabehewa ya kisasa?
 
Mnafatilia sana habari za Kenya! Hadi hii manaijua???
 
Lumumba street/Morogoro Road intersection. Ghorofa za posta hizo hapo nyuma 1km away. Jiji ndogo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…