Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulitaka uone slums kama naipori-slums-everywhere? 🤣🤣
Nope, nilitarajia kuona dreamhouses. Nimeshangaa huu ukubwa wa adar tunaambiwa hapa kila siku ni ushuzi tu wa vijiji ndani ya jiji!
 
Tuonyeshe sehemu kama hiyo ya Ngara nje ya cbd yenu. Kelele achana nayo
Kariakoo alone ni sawa uchukue westland jumlisha upper hii jumlisha CBD yenu jumlisha hio ushuzi unaitwa ngara hamuipati hata nusu ya kariakoo 🤣🤣🤣
 
Maybe volume ya magari haiku warrant lanes nyingi
All vehicles that go to Ngong pass through this road. It has very high traffic. Ukifika pale Karen shopping centre ndio utajua magari zipo nyingi on that road. From Karen shopping centre to Ngong town is not yet expanded to dual carriageway so ni mwendo wa bumper to bumper
 
Kariakoo alone ni sawa uchukue westland jumlisha upper hii jumlisha CBD yenu jumlisha hio ushuzi unaitwa ngara hamuipati hata nusu ya kariakoo 🤣🤣🤣
Nimekuambia ulete sehemu kama hiyo NJE ya cbd yenu. Na tukisema Dar ni cbd tu mnaona ni madharau.
 
But i see westlnd upper hill and CBd au mpiga picha alikosea 😂😂😂😂😂
Yani picha moja ishamaliza nairobi alaf tuko hapa kushindana nn ???
You see nothing,you don’t know CBD or WESTIE,try your hands on braille😎!
 
Kariakoo alone ni sawa uchukue westland jumlisha upper hii jumlisha CBD yenu jumlisha hio ushuzi unaitwa ngara hamuipati hata nusu ya kariakoo 🤣🤣🤣
Acha maneno mingi bana, nimekuambia ulete any region in Tanzania we want to compare it with Machakos County.
 
Nimekuambia ulete sehemu kama hiyo NJE ya cbd yenu. Na tukisema Dar ni cbd tu mnaona ni madharau.
Kariakoo iko nje ya CBD haya niambie sasa unataka kingine kipi 😂😂😂 au ulijua kariakoo ni CBd ???

Ngara nij just 2.5km from CBD haya tuambie wewe 🤣😅😅😅
A14F7FF3-F420-4740-B88D-44BAC35BE469.jpeg
 
Station yenu ipo naipori rural 🤣🤣
Dalili za mauchungu. Kwa sababu umeshindwa kuthibithisha kwamba Dar IPO urbanized, nakukumbusha uone zile picha za Ilala nilipost hapa uone takataka mnaita jiji
 
Your shitty 3G network is obsolete,chamoto ni jina la kishamba,MOTHERFUCKER!!😎
Umeishiwa wewe, sasa unaanza kuhoji majina? Chamoto inamaanisha bastola, sasa hapo nani mshamba kati ya mimi na wewe?
 
Kariakoo iko nje ya CBD haya niambie sasa unataka kingine kipi 😂😂😂 au ulijua kariakoo ni CBd ???

Ngara nij just 2.5km from CBD haya tuambie wewe 🤣😅😅😅
View attachment 1853998
Kariakor iko nje ya cbd? 😂 😂 😂 Tangu lini?! Ni kilometer ngapi kutoka cbd? Hizini dalili za kuishiwa
 
Eti ngara ni concrete jungle 😂😂😂 hawa watu sijui ni vipofu au ushamba umezidi yani mtu anaiandika concrete jungle alaf anaweka ngara ikiwa hata hio CBD yao haina concrete jungle
 
Back
Top Bottom