Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm nilishakwambia siwezi kubishana na ww kwenye upuuzi yani machakos unioneshe nn kuhusu machakos wewe 🤣🤣🤣

There's no region in Tanzania better than Machakos County.😂👇👇

images.jpeg
 
.Battle inaleta atmosphere flani uone mtu anasema kwa kukejeli..kumbe inakuwa hajajua hio fact ..which can happen
Ndio maana nikasema we should learn to see the positive aspects in certain things. Mimi kusema ukweli kujiunga huku kimenifundisha mambo mengi, haswa lugha ya Kiswahili. We shouldn't be on each other's necks morning to evening, it doesn't help in anything. And this applies to both sides
 
Kiba baada ya kuchukua pesa za wakeny na sasa yuko burundi anakusanya pesa 😂👇👇
8E52E7FC-83ED-4AA9-ACE8-751045445DB0.jpeg
 
Back
Top Bottom