Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu moja mara kumi 😂 😂 😂 😂 😂

DAR CBD vs WESTLANDS .., Hii hapa👇👇 umemaliza mchezo.., the best towers ndani 😂😂😂😂 Main CBD, sura ya Dar kama Dar
1626261571804.png

Westlands pekee.., 💪💪💪💪
1626261540344.png
 
Inafurahisha jinsi watanzania wanajibu comments zetu kwa unyonge 😂 😂 😂
Yani nguvu inewaishia kabisa
Hawana majibu mwafaka.., ni kiswahili mingi, ona Dar sasa, tunaipangua one by one, ona vile developed area ni ndogo 😂😂😂😂
 
hivi nyie kunguni wakikenya mnaakili kweli...?,,

yaani mpo hapa kizembe mnakomaa kushindana na Dar City jiji la kibabe kwa road distance wakati in reality dar nikubwa kuliko nairobi,hebu acheni uchizi tafuteni shughuli za kufanya mnapoteza mda for nothing.
 
Pale pale Dar CBD tu, different angle.., with the usual three musketeers..,
View attachment 1852880
A section of upper Hill business District.., bado inatesa dar CBD
View attachment 1852859
Only 3 buildings in Nairobi. Zingine ni vibanda. Can you please show us beautiful buildings kama hizi kutoka Nairobi!? Blue buildings aka modern buildings.
IMG_20201010_160851.jpg
IMG_20201010_161017.jpg
IMG_20200929_220304.jpg
IMG_20210111_191240.jpg
IMG_20201010_155605.jpg
IMG_20201004_165149.jpg

IMG_20201010_160851.jpg
IMG_20201010_161017.jpg
IMG_20200929_220304.jpg
IMG_20210111_191240.jpg
IMG_20201010_155605.jpg
IMG_20201004_165149.jpg
 
hivi nyie kunguni wakikenya mnaakili kweli...?,,

yaani mpo hapa kizembe mnakomaa kushindana na Dar City jiji la kibabe kwa road distance wakati in reality dar nikubwa kuliko nairobi,hebu acheni uchizi tafuteni shughuli za kufanya mnapoteza mda for nothing.
Huu wimbo wa 'Dar ni kubwa' mtauimba hadi lini? Road distance gani mnazungumzia wakati so far barabara refu zaidi mmleta hapa ni ya 40km?

Hamuoni hata aibu kwamba Nairobi licha ya huo udogo wake inawashinda mbali?

Sisi tumeleta dual carriageways ambazo zimepita hadi nje ya mipaka ya Nairobi wakati nyinyi hamna barabara kama hiyo. Huoni aibu?
Wewe ndio utafute shuguli coz so far hamjaleta dual carriageway refu kuliko yetu
 
Kwanini hutaki kuanza za kwako!? Nairobi ni mji wa wanyama. Animal's Town.
The burden of proof lies with you engineer fake. You made that clam so it's you to confirm that whatever you said is true
 
Kwanini hutaki kuanza za kwako!? Nairobi ni mji wa wanyama. Animal's Town.
The burden of proof lies with you engineer fake. You made that clam so it's you to confirm that whatever you said is true
 
Developed area ni ndogo sana.., wacha blah blah zako., haukwepi leo.., lazima upate dose..,
OLD CBD Nairobi., yaani sehemu ya zamani bado iko na mvutio..,
1626262361129.png

Two Rivers...,
1626262416284.png

The best of Dar.., VS Parklands..,
1626262563154.png

Parklands (Mix residential and business.., inatoa Dar kamasi..,
1626262498685.png
 
Huu wimbo wa 'Dar ni kubwa' mtauimba hadi lini? Road distance gani mnazungumzia wakati so far barabara refu zaidi mmleta hapa ni ya 40km?

Hamuoni hata aibu kwamba Nairobi licha ya huo udogo wake inawashinda mbali?

Sisi tumeleta dual carriageways ambazo zimepita hadi nje ya mipaka ya Nairobi wakati nyinyi hamna barabara kama hiyo. Huoni aibu?
Wewe ndio utafute shuguli coz so far hamjaleta dual carriageway refu kuliko yetu
sasa kwaakili yako unahisi dar gari huwa zinapaa angani..?, au ndiyo uchizi unakuchanganya..

umepewa info hapo onyesha km za road tokea city center hadi mpaka wa mwisho wa nairobi na uonyeshe map hapa mnaishia kuruka ruka kama chura na kuvuka boda hadi other county.

yaani unaakili za kitoto sana reality ni hivi kwenye hako kapori kanairobi hakuna chaajabu hizo road mlizonazo ni vipisi vipisi ,,kwa camera mnang'aza tukija ground ni vumbi ti na mipasuko ya rami
 
Kwanini hutaki kuanza za kwako!? Nairobi ni mji wa wanyama. Animal's Town.
The burden of proof lies with you engineer fake. You made that claim so it's you to confirm that whatever you said is true
 
sasa kwaakili yako unahisi dar gari huwa zinapaa angani..?, au ndiyo uchizi unakuchanganya..

umepewa info hapo onyesha km za road tokea city center hadi mpaka wa mwisho wa nairobi na uonyeshe map hapa mnaishia kuruka ruka kama chura na kuvuka boda hadi other county.

yaani unaakili za kitoto sana reality ni hivi kwenye hako kapori kanairobi hakuna chaajabu hizo road mlizonazo ni vipisi vipisi ,,kwa camera mnang'aza tukija ground ni vumbi ti na mipasuko ya rami
Your longest dual carriageway is only 40km. That's the point I am trying to pass across. Sijasema magari zinapaa angani.

Nairobi is a metro kijana. Hizo barabara tunazionyesha coz vyanzo vyao ni Nairobi. Nairobi isingekuwepo labda hizo barabara pia hazingejengwa hayo maeneo mengine. Wewe tuonyeshe dual carriageway iliyopitiliza nje ya mipaka ya Dar tuone
 
Back
Top Bottom