Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu nimejufunza leo
-Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko tanzania nzima
-Kenol marua highway pekee 84km imezidii dar nzima.
-Kibera inaenda kupata dual carriageway mbele ya masaki

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Fool, 3 level interchange means all are highways for vehicles si level moja ya pedestrians!
jesus christ... what do you mean... hebu come again u crab... hii ni wewe.. 🐒nugu. hii ni magari unaona hapa ama pedestrians
nairobi20.jpg
 
Kitu nimejufunza leo
-Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko tanzania nzima
-Kenol marua highway pekee 84km imezidii dar nzima.
-Kibera inaenda kupata dual carriageway mbele ya masaki

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ila we ni mjinga sana 😂😂😂 izo vikitu unaita interchange zipo kibao kwenye barabara ya KIMARA KIBAHA pekee, heb ngoja nikuonyeshe kwamfano👇
Screenshot_20210714-011618_1.jpg
Screenshot_20210714-011532_1.jpg
Screenshot_20210714-011557_1.jpg
na kamwe hutomskia mtanzania anazumngumzia hiz hata siku moja.. kwenye barabara hii pekee zipo zaidi ya kumi
 
Kitu nimejufunza leo
-Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko tanzania nzima
-Kenol marua highway pekee 84km imezidii dar nzima.
-Kibera inaenda kupata dual carriageway mbele ya masaki

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hiyo meno karua highway hsipo naipori-slums-everywhere 😂😂😂😂
 
Wakuu kuweni makini na hawa wakunya

Hakikisheni kweli hizo barabara zao zipo naipori-slums-everywhere

Utafiti unaonesha barabara zote hizo 80% zipo outside naipori-slums-everywhere, ukikaa vizuri ukakagua utaona naipori ina dual carriageway isiozidi 20km tu

Mimi naona hawataki kabisa kuniquote sababu wanajua balaa langu sio la bara hili, jana nimewathibiti mpaka wakatoweka kabisa, wamesubiri nimelog off ndio wakarudi kunengua 😅😅😅
 
Ila wakunya ni mataahira

Inakuaje Kunyaland iweze competition na Europe? Hata quarter 🌗😂😂 Hata South Africa tu!

NCHI ambayo ikulu ipo kwenye slums na haina maji ya uhakika wajifikirie kuwa Europe?

Wakenya wengi ni Vichaa au hawaijui nchi yao vizuri au hawaijui Europe

Screenshot_20210714-064534.png
 
Wakuu kuweni makini na hawa wakunya

Hakikisheni kweli hizo barabara zao zipo naipori-slums-everywhere

Utafiti unaonesha barabara zote hizo 80% zipo outside naipori-slums-everywhere, ukikaa vizuri ukakagua utaona naipori ina dual carriageway isiozidi 20km tu

Mimi naona hawataki kabisa kuniquote sababu wanajua balaa langu sio la bara hili, jana nimewathibiti mpaka wakatoweka kabisa, wamesubiri nimelog off ndio wakarudi kunengua 😅😅😅
Kam hizo barabara ziko outside Nairobi then hiyo inafaa ukuonyeshe development in Kenya haifanyiki Nairobi pekee like Tanzania where development iko dar pekee, infact other counties have better roads than entire Tanzania.

Leo nataka mtanzania yeyote ajitokeze tulinganishe Machakos County, Kiambu County and Kajiado County with any region in Tanzania.
 
Back
Top Bottom