Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi has higher population density than Dar. Nairobi watu wengi wanaishii juu ya hewa sio kama Dar ghorofa za residential area sio mingi thus having a big urban sprawl.
Watu wengi wanaishi kwenye slums bana, naipori-slums-everywhere ina slums zaidi ya 25, mathare ina slum dwellers zaidi ya 1.7 million, Kibera 2 million hizo 23 bado 😅😅😅
 
Sea breeze mbezi beach
images%20(10).jpeg
images%20(11).jpeg
 
Iyo thika section ya nbo ni km ngap?Maana hata Morogoro road inaendelea hadi chalinze km 100
Sasa ikiwa longest dual road east africa nzima ni 84km na ndo inajengwa kenya saa hii, hio 100km ndo ipi tena 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Unaambiwa mombasa road 45km wee unaleta mombasa road nzima, kama si kupanic huko🤣
 
Nairobi has higher population density than Dar. Nairobi watu wengi wanaishii juu ya hewa sio kama Dar ghorofa za residential area sio mingi thus having a big urban sprawl.
40 kilometres from CBDs

Boarders the next region

Screenshot_20210713-202024.png
 
Kipi kinachokufanya unaamini kwamba naipori imeendelea kuliko Dar?

Ina electric SGR?
Ina 3 level interchange?
Ina BRT system?
Ina better access to clean water?
Ina concrete jungle like Dar has?
Ina millionaires than Dar?
Ina recreational parks like Dar?
Ina modern airport?
Ina modern stadium?

Ina nn kinafanya kuamini ivyo? Are you mad?

Sgr inafanya kazi?
Nairobi interchange zipo kibao
Nairobi ina concrete jungles zaidi ya moja
Nairobi ina millionaires wengi kuliko dar
Recreational parks gani hzo?
Airport sio terminal
Modern stadium ambayo facilities kiduchu
 
Jamaa tumewapiga kwenye kila angle

Govt schools
Length of SGR
Best and quality SGR
Hospitals
Stadiums
School buses
Concrete jungle
Five star hotels
Residential homes
Airports
Bridges
Rural electric connectivity
Access to clean and safe water
Public Transport services
Dual carriageways

Kila mtu shahidi humu mana mijadala inawekwa wazi kila mtu anajionea
Santa sana mnenguaji
Endelea kujifurahisha
 
Back
Top Bottom