President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Mbona unatokwa povu Mzee.Bado umekosa 30km dual carriageway in Dar. Unalia lia tu, umekua ukitafuta for 3hours now.
Mombasa road hii hapa sasa dual carriage tuoneshe
Mbona unatokwa povu Mzee.Bado umekosa 30km dual carriageway in Dar. Unalia lia tu, umekua ukitafuta for 3hours now.
Oya wakuu hawa jamaa kumbe hamna lolote mpk kwenye dual carriageways tunawat..mba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanazo mbili tu.Oya wakuu hawa jamaa kumbe hamna lolote mpk kwenye dual carriageways tunawat..mba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wb hao hao ndio watoa ripoti wa slumNo one has ever liked being told the truth. Kama haupendi huu ukweli, peleka malalamishi yako WB waliotoa hiyo ripoti. Nyinyi endeleeni kushangilia ukubwa wa Dar huku maendeleo ni zero
Kwani hujui kusoma, kutoka Machakos Junction yani unaanza kukaribishwa Nairobi ukiwa mbali kwasababu ya increase in traffic. Mombasa Road yote ni over 450km, na hakuana pahali nimeandika 450km mimi. Wewe umeshindwa kunionyesha any dual carriageway heading to Dar CBD au hata kubypass it yenye ni 30km or more. Bado unalialia tu.
Kibamba hadi kimara ni 19.2km njia nane plus kimara hadi kisutu 16km njia 6 jumlisha hapo ni km 35.2Dual ya morogoro inaanzia Kimara hapo mbele ni just 2 sections on and off sio continuous. Kimara to Kisutu is only 16KM. Bado nangoja unionyeshe over 30km continuous to CBD. Au hata bila kupita CBD kama vile Southern bypass is a whole continuous 31km stretch bila kuunganisha na njia ingine.
Kwani hujui kusoma, kutoka Machakos Junction yani unaanza kukaribishwa Nairobi ukiwa mbali kwasababu ya increase of traffic. Mombasa Road yote ni over 450km, na hakuana pahali nimeandika 450km mimi. Wewe umeshindwa kunionyesha any dual carriageway heading to Dar CBD au hata kubypass it yenye ni 30km or more. Bado unalialia tu.
Kamji kadogo kanapiga pop ya wakazi zaidi m 4,na mapori hayo watu wamejazana kwenye slums,inaripotiwa kibera pekee ina wakazi zaidi ya mln 2,jumlisha na hao wanaoishi kwenye slums zingine 😝Naipori-slums-everywhere ipo idle kama joblessness iliopo Kunyaland, ni kubwa mno
Pamoja na kwamba naipori-slums-everywhere ni very Tinny lakini bado ni kijiji ambacho kina mapori makubwa na vichaka vingi mno 😂😂😂
Huwezi kuta huu ushubwada Dar
Eti metropolis 😂😂😂😂
View attachment 1851732View attachment 1851733View attachment 1851734
Iyo thika section ya nbo ni km ngap?Maana hata Morogoro road inaendelea hadi chalinze km 100Thika superhighway 54km
Southern bypass 31km
Mombasa Road 45km
Wacha hata nisiendelee itakua aibu.
Uongo sasa jumlisha barabara zenu mbili hapa jumla ya km ulizoweka ni 121. Dar zaidi ya hapoMachakos junction hadi Limuru road junction ni 83km long continuous dual carriageway stretch. Western bypass pia ni dual iko under construction, NHC missing link road pia iko under construction na ni dual. Za mtaa kama Langata Road, Ngong road, Jogoo road, mbagathi way, Redhill road ni mingi. Nairobi CBD pia ziko hadi Eastleigh na Ngara. Hapa nimeona hakuna battle wacha tu iishe.
🤣 🤣🤣Kwani hujui kusoma, kutoka Machakos Junction yani unaanza kukaribishwa Nairobi ukiwa mbali kwasababu ya increase in traffic. Mombasa Road yote ni over 450km, na hakuana pahali nimeandika 450km mimi. Wewe umeshindwa kunionyesha any dual carriageway heading to Dar CBD au hata kubypass it yenye ni 30km or more. Bado unalialia tu.
Mbona haijajichora vizuri kama NYC Ama L.A.kuna mtu kataja nairobi ni kama tokyo[emoji23]
Hii battle ya dual carriageways tushaifunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uongo sasa jumlisha barabara zenu mbili hapa jumla ya km ulizoweka ni 121. Dar zaidi ya hapo
Morogoro road 29km
Bagamoyo road 22 km
Kawawa road 15km
Mandela road 14km
Nyerere road 18km
Kilwa road 22km
Sam Nujoma Road 7km
Shekhe Kilango Road 6km
Bibi titi Mohamed road 8km
Coco beach road 5km
Kwani hujui kusoma, kutoka Machakos Junction yani unaanza kukaribishwa Nairobi ukiwa mbali kwasababu ya increase in traffic. Mombasa Road yote ni over 450km, na hakuana pahali nimeandika 450km mimi. Wewe umeshindwa kunionyesha any dual carriageway heading to Dar CBD au hata kubypass it yenye ni 30km or more. Bado unalialia tu.