ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
30 kilometres from CBD
Nairobi slum ungekua upo turkana
Wataewa tu nendeni nao taratibu tu🤣🤣
30 kilometres from CBD
Nairobi slum ungekua upo turkana
Matokeo ya serikali fisadi
Kitu kimeitika tena 👇👇👇👇 haipiti wiki Geza Ulole
Kwasababu ardhi inamilikiwa na wale wale wajanja kama sio investors basi politicians 😂😂😂😂😂Tilisi Estate in Tigoni, Limuru bei inaanzia 23 millio, almost double of what unapost hapa. Hata sitaongea kuhusu Tatu City which is 35km from CBD plus many properties in Isinya and Kajiado over 60 km from CBD.
Domo kazi yake nikusema yeaa! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ata awe na pesa vipi mtanzania ni mjinga
Mombasa gani ?? Ipi?? Au kuna mombasa nje ya africa ?? 😂😂😂😂 unitag bila uogaLevels za Mombasa kabisaa😂😂😂😂, utadhani sehemu flani coasto.,😂😂😂
Akili yake imejaa chuki na wivu hata sio yakupima usipoteze muda 😅😅😅Kwahiyo apo ujinga wake nn ebu niambie nipime akili yako....
Mbona hukusema ni mombasa gani?? 🤣🤣 mtu mmoja ana id tatuI was going to say the same thing
Ikiwa lami hakuna CBD nairobi itakua bunju 😂😂😂😂 na ukumbuke na dar nikubwa mara tatu ya nairobi 👇👇👇👇
Kuna mkunya anasema Dar viwanja bei rahisi
43 kilometres from CBDs land prices hii hapa 😂😂😂
Yeye alete 43 kilometres from Nairobi land prices as well tuone
23km Dual carriage Kivukoni to Magufuli bus terminal. Twende Kazi tuone Mzee.Kubwa mara tatu na Dar imejaza one way streets and single lane roads. Dual carriage way zenu ni fupi sana na unajichocha na size.
Huko machakani kwao full aibu,acha tu wawe wanaiba picha za nchi zingine maana nchi lao limeoza 😀Ikiwa CBd nairobi hakuna lami baadhi ya maeneo mengi itakua huko 😂😂 ww nenda na barabara kutoka lunga lunga hadi mombasa ukaone uozo
Hayo macho yako yanaona nn Kwan?ulitaka uone pesa amaMbona sijaona vitu vya ajabu kwenye hizo picha jamani? Kitu cha ajabu tu nimeona ni kwamba sehemu moja inapigwa picha in five different angles
24km Kivukoni to Tegeta Kibaoni Dual carriageKubwa mara tatu na Dar imejaza one way streets and single lane roads. Dual carriage way zenu ni fupi sana na unajichocha na size.
Sijaona nyumba za adabu hapo. They are just ordinary housesHayo macho yako yanaona nn Kwan?ulitaka uone pesa ama
Kivukoni to Banana Dual carriageKubwa mara tatu na Dar imejaza one way streets and single lane roads. Dual carriage way zenu ni fupi sana na unajichocha na size.
Hauna ata nyumba moja kaa kwa kutuliaSijaona nyumba za adabu hapo. They are just ordinary houses
Endelea ju hata so far hakuna ile imefikia southern bypass which is 31 km long. 😄