Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unasumbuka hivi mtanganyika?
Ndio hizi Business Daily zingine


Kenya tops growth in new connections of electricity - MSN



Nenda udanganye nyanyaako pumbavu wewe.
Screenshot_20210710-151108.jpg
 
Washaanza kuliwazana[emoji1787] mkenya mmoja alitosha kudeal na watanzania wote[emoji1787][emoji1787]
 
Vita vilikua kati ya venus na simba, masenge walipoona mmoja kazidiwa wakaja wote[emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza from the beginning tu tayari mlipigwa na vyuo 10 bila ninyi kupost chuo hata kimoja na bado mmepigwa kirahisi!
Venus Star alianza na moto mkali alianza kupost vyuo 10 kabla hawajaanza kujibu mpk nikamwambia asiende hivyo mana jamaa ni wajinga watapost vyuo viwili vitatu zen anatumwa mtu kuharibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya ni mabingwa wa kuvamia uwanja, ukiwazidi tuu haaooo wamevamia uwanja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cha kushangaza ni kwamba sijaona UDSM yn Watz tuna dharau sn, nyie mmeleta vyuo vyenu vyote mmemaliza na mkawa mnarudia cc bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeona wameweka mpaka polytechnic colleges (VETA) zao, ni kasema tukiamua na sisi tuweke VETA huku itakuaje? 😂😂😂
 
Nyinyi wangapi na ilikua simba pekee yake, mshaanza kulia[emoji1787]
Asa hutumii akili kujua mtu mmoja anaetumia ndoo ya lita 20 kujaza maji sehemu ni tofauti na watu wawili wanaotumia ndoo za lita 20 kila mmoja?

Maana yake tumewapiga double
 
Back
Top Bottom