Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zikiwa ITX Saemauel itakuwa poa sana..maana naona kwenye EMUs ndo zenywe ambazo wameziclasify as Long Distance Trains...na zenyewe ndo zinazpmove kwenye 1435mm SGR
Screenshot_20210707-081506_Chrome.jpg
Screenshot_20210707-081029_Chrome.jpg
 
Overall order ni ya 300m USD but there will be a series of contracts starting with 60M USD for DSM - Moro
Wamesema zitaarrive by 2024 ..but i think the ones for Dar -Moro will arrive by Late this year
Screenshot_20210707-084303_Chrome.jpg
 
View attachment 1844149View attachment 1844150View attachment 1844151View attachment 1844152
Bonge Moja la News...hasa ukizingatia we are transforming our railways,aviation and marine transport sysytem this is much needed for future engineers
plus 75 mil usd gets you bonge moja la facility

naona Kia na JNIA kutakuwa na aviation centre na facility

Na lindi kutakua na marine training facility

View attachment 1844173
 
2 million slums dwellers of mathare and their notorious slums Lords

Kuna thousands of kenya slum life documentaries online lakini hutoona hata documentary 1 kuhusu Tanzania

Mathare slums ni babalao

 
Tutawatesa sana wallahi, ila Tz konyo aisee yn mpk leo haijulikani kitakuja kitu gani, nchi ya siri hii, huwa tunafanya mambo yetu kmy kmy lkn end product huwa wanakaa, ona wakunya wanavyotapatapa
huyu senge yuafurahia nchi ikiendeshwa kisiri sijui akili zako waga ziko makalioni
 
Huyu black American anaishi Tanzania Lakini hajawahi Kuongea kuhusu slum yoyote Tanzania

Kaenda Kenya tu kakutana na slums everywhere anafanya comparison na US ghettos 😂😂😂

 
Back
Top Bottom