Kiwanda cha cement kikubwa East and Central Africa worth $1.2billion kipo kinajengwa Tanga by a Chinese government owned company for the construction of that Silk Road in Africa. 6 million tonnes per year kinazalisha. 70% export 30% for domestic use. Mme bakia watazamaji tu wa silk road.Hata sisi mwenye silk road yupo lakini atupigi kelelee bwana we! coming soon... kwenye One Road One Belt