Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We usually display very few things my friend of YouTube
Wenzako wakishabambikwa videge vya umwagiliaji pareto second hand toka Marekani basi hayo mabilioni wanayaongezea kwenye bajeti ya Jeshi lao then they feel good kwamba Jeshi lao Lina bajeti kubwa.
Na marekani alivyo mjanja anawarank kabisa kulingana na hayo madege mabovu anayowauzia ili muwe mnashindana kununua hizo Takataka kwake nae aendelee kupiga hela.
Kenyans are Very stupid.
Mambo ya jwtz will remain secret milele. Acha Wamarekani waturank weakest army on Africa. Haitupunguzii kitu. Siri za Jeshi hazitakiwi kumfikia mpinzani.
 
Toyota tanzania special office/showroom.
285d4c3fba97ada76ea89b566960f5cf.jpg
3ee3772ad6b740af8ae8b410f43770a6.jpg
adac02f4368aa123c40438e8fe2c4d96.jpg
99bff41eede6d381ffa04ddaeb14cdd2.jpg
 
man. huu ni upuzi. trucks pekee ake zenye zi utoka port ya Mombasa kuelekea Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia ni nyingi sana.
Wapi na wapi malawi na zambia??????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
believe it or not. personally i know some truck drivers who carry their own gas cookers and food items to cook on their way to zambia simply because they cannot stand zambian tastes of food
truck zenyu zinazoenda Zambia,zinapitia root gani?.

NB: truck za tz zinapeleka bidhaa mbalimbali Lubumbashi,zambia,Malawi,Burundi,na.Rwanda.

nimesikia kuna zingine zinaenda mpaka south Africa kupitia Lusaka Zambia..

anyway,jibu swali langu pale juu.
 
Back
Top Bottom